Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,681
- 54,504
Duh lazima utakuwa bonge,na kama sio bonge ni suala la muda tuš¢
Duh lazima utakuwa bonge,na kama sio bonge ni suala la muda tuš¢
hapana mi mwembamba tuDuh lazima utakuwa bonge,na kama sio bonge ni suala la muda tuš¢
Kuna kitu kitakukuta ukiendekeza hiyo misosi,ni suala la muda tuhapana mi mwembamba tu.
amini siwezi nenepa, napiga zoezi asubui kwa wiki Ć4.Kuna kitu kitakukuta ukiendekeza hiyo misosi,ni suala la muda tu
Excellent šamini siwezi nenepa, napiga zoezi asubui kwa wiki Ć4.
Kwa hiyo hapo yako ni Nini?flying fish,pepsi au hiyo redlipsš?Bruce Lee wa Kishapu.View attachment 2990886
šššPepsi .Kwa hiyo hapo yako ni Nini?flying fish,pepsi au hiyo redlipsš?
Duh!umeharibu kijiwešššPepsi .
Watoto wa sasa hivi ndivyo vitabu wanapaswa kusoma.
Awwwwwwwww ššNitaonja na kula kabisa...
Na Tola alia gizani, Betina na Zena hahaWatoto wa sasa hivi ndivyo vitabu wanapaswa kusoma.
Sio sie miaka ile unasoma Juma na Uledi na vihadithi vya uongo na kweli.
Apple punch imekaa mahala pake š„š„Smart911 love njoo uonješ
Mr likes Akili zako sasaApple punch imekaa mahala pake š„š„
Na Tola alia gizani, Betina na Zena haha