Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nasema uongo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค ???
Kweli kabisa watumie walivyonavyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila wasisahau
Siku ya mwisho ikilia parapanda zitajibandika usoni zote alizowah kula zikibaki watawekewa kwenye gunia l wasisahau,
sis wanawake zitaning'inia mwilini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃzikibaki tutawekewa kwenye kirova tuburute ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sijasemea humu babu si umesema huko kwa job full misosiiiiiii tena vitrotro vibichiii chuchu kweee ndio nakwambia vikija nyie pigeni tu huo ndio uanaume mwanaume hakuna kukaaa kizombie hata smart huwa namwambiagaa wakimlengeshea asiniangushe!

Ila hata kama ni humuu acha watu wapeane mautramu buanaaa!
Hahaha..........eti vipigwe tu ๐Ÿ˜œ

Bahati mbaya nimestaafu zamani, hata hivyo kazi yangu haikuwa inaruhusu kukutana na Wanawake

Siku hizi Vijana wanafaidi tu, hasa wale wa mahospitali/Vyuo/Benki n.k ๐Ÿค—๐Ÿ™Œ
 
Kweli kabisa watumie walivyonavyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila wasisahau
Siku ya mwisho ikilia parapanda zitajibandika usoni zote alizowah kula zikibaki watawekewa kwenye gunia l wasisahau,
sis wanawake zitaning'inia mwilini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃzikibaki tutawekewa kwenye kirova tuburute ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hio Siku kila mmoja atapambana na furushi zakeee banaaa tukijipeleka watufumueee tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคญ!

Hatari sana
 
Hahahaha..................mbona hiyo hatari

Tutakaopona ni sisi Wazee tu maana hatuna mambo mengi ๐Ÿค—
 
Hio Siku kila mmoja atapambana na furushi zakeee banaaa tukijipeleka watufumueee tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคญ!

Hatari sana
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tujichagulie kabisa package zikibakia
Kama ni kindoo
Au kiroba au jaba ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hahaha..........eti vipigwe tu ๐Ÿ˜œ

Bahati mbaya nimestaafu zamani, hata hivyo kazi yangu haikuwa inaruhusu kukutana na Wanawake

Siku hizi Vijana wanafaidi tu, hasa wale wa mahospitali/Vyuo/Benki n.k ๐Ÿค—๐Ÿ™Œ
Sasa je nyie sanueni kwakwenda mbeleeee !

Weeeeeeeeeee tena weee ndio unaonekana simba mwenda pole wewe hata kwa Maandishi tu unaonekana ni zaidi ya hatari!
 
Hahahaha..............wengine umri umetutupa Mkono Mjukuu ๐Ÿค—

After all it's worthy nothing having many sexual partners

Tangu Mwaka 47 tuliachagua kubakia njia KUU
 
Kabisa infidelity Ni hatari sana kiukweli! Japo kwa wanaume ni nature yenu tofauti nasie wanawake!

Of course njia kuu ni salama only if nae kakitulizaaa !
 
Back
Top Bottom