Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,882
- 141,509
Best wings in town 🏆.
Dah Mimi Napenda zile amshaamsha...mara umetaka kuibiwa simu,mara umepigwa kipepsi ha haaaaUtulivu Joannah...
Huwezi kuta heka heka kama za Da'slam
Hali ni shwariMlioko mjini hali ipoje
Saint Anne Kuna kuogolea au twende tu kirohombaya[emoji3]
Kweli kipenz 😀Hali ni shwari
Kariakoo usipokaa sawaDah Mimi Napenda zile amshaamsha...mara umetaka kuibiwa simu,mara umepigwa kipepsi ha haaaa
ulifanya jambo la masna sana😅😅😅Asantee. Jana nilikua na water therapy 😂😂😂😂
👍
🤣🤣🤣🤣Balaa zitoKariakoo usipokaa sawa
Unajikuta umezolewa kichwa na baiskeli ya Tenga la nyanya 😂😂😂😂
Unajidai eti upo upande wako haupishi
Watu hawana habari,anapenya tu kichwani kwako na furushi lake
Maswali mengine jamani😁😁😁A : Mapenzi ya kuthaminiana kwa vizawadiView attachment 2975133
B : Mapenzi ya pesa mbele
View attachment 2975134
A or B ?
Sasa wewe ni special case nakuongezea C : Equation XMaswali mengine jamani😁😁😁
🤣🤣🤣Hata uongeze Hadi Z,halafu irudi -A.....choice itaendelea kubaki B....with B I can buy chocolate I can also have Equation XSasa wewe ni special case nakuongezea C : Equation X
uchague A au B au C
Wapi kanisifia?👍
Mkuu huyu ni wa Kasie Mahaba Matata? Bado anashusha engine? Yule mamsaap anajuaga kukusifia aisee au yanakuaga ma episode.. eti dadii kumbe yupo anaestahili haswaa
😂😂 jokes
Congrats
Mie siyo wa kukaa bila kuja kariakoo🤣🤣🤣🤣Balaa zito