Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si kama siwezi kusema
Naweza mpaka kukesha
Naziepuka lawama
Nyingine zinakondesha🔥🔥🔥👌👌👌

Mamaaa Leila🔥🔥🔥🔥

Najua hii ndo dunia, dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia, aso hili ana lileeee
Lolote lile watakutafutia, ili upate upige kelele
Mie mdomo sitaufungua, ndo kawaida yangu milele
 
Attachments

  • IMG_20240427_001055_287.jpg
    IMG_20240427_001055_287.jpg
    2.5 MB · Views: 9
Najua hii ndo dunia, dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia, aso hili ana lileeee
Lolote lile watakutafutia, ili upate upige kelele
Mie mdomo sitaufungua, ndo kawaida yangu milele
Kwenye baya nalipa jema🔥🔥🔥👌👌👌
 
🎶Tena nashngaaa sana
Natenda wema
Nalipwa ubaya
Nimeguzwa mshumaa
Nawaka huku nateketea
Kweli Banian mbaya 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom