Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Arusha ni nzuri zaidi ya Mbeya, sioni eneo lolote pale Mbeya ninaloweza linganisha na eneo lolote Arusha...

Mbeya imejengwa hovyo hovyo sana...
Arusha penyewe pamepangiliwa kitu gani Mkuu?

Mji uliopangiliwa mwanzo mwisho ni Dodoma tu.

Kwingine kote Kuna baadhi ya maeneo yamepangiliw, baadhi yalijengwa hovyo tu.
 

Attachments

  • IMG_6162.jpeg
    IMG_6162.jpeg
    1.8 MB · Views: 10
Safiii sana....Upo zako Congo na Aggrey unakula mishkaki ya kitoroli weee
Hapo bado kupigana vikumbo pale gerezani kwenye mwendokasi

Akiyanani DSM ni jehanam ndogo.

Mishkaki ya kwenye vitoroli lazima nile aisee😂😂😂
Zile hekaheka mnakula,mara gari hilo linapita toroli linahamishwa😂😂
 
Back
Top Bottom