Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji134][emoji134][emoji134]Kule sijui ndio Mlezi sijui Nala[emoji16][emoji16]ila nyie mnaishije sehemu imepoa hivyo?hebu ona picha hamna hata Mtu...
Dom Jiji la kinyamwezi sana
Hakuna kelele
Kumetulia
Kumejengwa kwa mpangilio sana
Huduma zote muhimu zipo

Na hakuna mafuriko.
 
Have you ever been to Arusha au Tanga au Moshi?

Dodoma ni pazuri kwa kuwa pamepangika na hakuna fujo kama za Dar, lakini kwangu mimi hiyo miji nimeiandika hapo juu, ni moja ya miji bora kwangu kuishi...
Hapana
Ila nadhani Arusha na Mbeya hapajapishana sana

Dodoma ni the best place kwangu.
 
Have you ever been to Arusha au Tanga au Moshi?

Dodoma ni pazuri kwa kuwa pamepangika na hakuna fujo kama za Dar, lakini kwangu mimi hiyo miji nimeiandika hapo juu, ni moja ya miji bora kwangu kuishi...
Selfika basi 😙
 
Kuna shida ya daladala yaani zipo main roads tu
Nyumba expensive pia
Ndio shida na Dodoma
Daladala zao sijui wanawaza nini,
Ajabu hata kwenda tu Milembe hakuna daladala..sasa sijui wagoniwa wa akili tunawapeleka vipi hospital.

Nyumba sijajua kwa kweli gharama yake kwa waliopanga.
 
Back
Top Bottom