Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lina laana hili jiji
Mimi kuna mzigo wangu nafuata mjini niondoke zangu
Kasheshe kufika huko posta..
Sijui nizungukie Toangoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sitaki njia yenye maji kabisa
Uwezo wa kuvuka maji nimejitwika mizigo siwezi.
Hawafanyi delivery?
Hao watu si wampe boda?
Heri uingie gharama ila uzima uwepo.
 
Nenda kwa mguu [emoji1787][emoji1787]
Nipo Dar nipo Dar
Kumbe mko pembezoni mwa dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbezi hadi posta ni kuzunguka Mbeya nzima mara2 kwenda na kurudi.

Tupo miguuni mwa Daslama..ila heri huku milimani mafuriko hakuna
 
Back
Top Bottom