Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Bina selfika kitambo sijakuona 🤭
Bina selfika kitambo sijakuona 🤭
Okay sio nirudi nikute ushakula ban maana wewe huchelewi😂Ndio mdogo wako uliyemchagua utafanyaje sasa??? 🤣🤣🤣
Wewe lewa mi niko makini kusubiria picha
😂😂😂😂 Mi namuheshimu na ile sauti yake ya upole, sijui hata km anachapaga watoto wake..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua namchachuaga Mello tsup?
Yaan nampaga heka heka, had anakimbiaa.
😂😂😂😂😂 Hivi amri ya 8 inasemaje nimesahau!! Kaka ww ni mroma?? Naomba unikumbushe nimesahau
Bora umekujaOkay sio nirudi nikute ushakula ban maana wewe huchelewi😂
Yani Simba na Liverpool zinaninyanyasa Sana 🥺🥺Watu hawajui yaan!! Inauma na kuchoma km pasi ya umeme.
[emoji24][emoji24][emoji24]
😍😍😍😍 ila bina wa motro
Aliyekwambia akupe na picha 🤣D nimeambiwa umenunuliwa gari em selfika ukiwa ndani ya ndinga lako nikupongeze wifi, kutoka kumiliki iPhone mpk gari ni maendeleo makubwa.!! Em fanya jambo 😜
Kuwa na amani mimi nachangamsha kijiwe kilipoa sana 🤣🤣🤣🤣Okay sio nirudi nikute ushakula ban maana wewe huchelewi😂
Forever and always msukumaaaaaaThe one and only one BL 🔥🔥🔥❤️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe naenda chimbo, kuna kidampa anafundwaa leo, bas full tafraniii.Haki nateseka em ngoja niende kwenye uzi wetu ze ganaz humu nakabwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumekuuuuuchaaaa in Mzee majuto voice
Pendeza ccy 😘😘🎵Shindo langu mimi mjikusanye wotreeeee!🎵
Muwe na mchana mwema wapendwaaa see you when you see me 🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒!
Mi nakuwekea picha original Dogo,ngozi inafanyiwa skin care routine na product za kikorea filter for what?kama unatumia kojie ya mama bonge Kko ndio utaweka ukungu😂😂😂😂Haswaah aweke picha clear za HD hatutaki zenye ukungu macho mabovu hatuoni 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 kwanini hupendi amani?🤣🤣🤣🤣 Ss hivi tumekatia bima id zetu
Ila nna mwiba umenikaba, mwenzenu mimi nateseka sijazoea kabisa haya maisha ya kutulia..!! Yesu nisaidie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wee!! Akikaa less less narukaa nae juu mawinguniii,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mi namuheshimu na ile sauti yake ya upole, sijui hata km anachapaga watoto wake..!
Ewaaaaah!! 😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umande wake sasa, iwawa njombee inasubiri.Mi nakuwekea picha original Dogo,ngozi inafanyiwa skin care routine na product za kikorea filter for what?kama unatumia kojie ya mama bonge Kko ndio utaweka ukungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Super tall wapi bn haya selfika na ww tukuone, mana siku nyingi sana😍😍😍😍 ila bina wa motro
Toto super tall, limeenda hewani. Twiga wetu wa selfika 🥰🥰🥰🥰
Mama kazaa, Mungu kaumba.!
Mie Man city kutolewa UCL na Madrid, nimevurugwaa had baas.Yani Simba na Liverpool zinaninyanyasa Sana [emoji3064][emoji3064]