cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,298
- 187,950
C ndiwoooooohAweke mafoto hapa tumuone alivyo msupuu [emoji7][emoji7][emoji7]
C ndiwoooooohAweke mafoto hapa tumuone alivyo msupuu [emoji7][emoji7][emoji7]
Udugu naona unatest mitambo 😂😂😂Hatutuliiiii!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuna wa kumuogopaaa!!! Em niende tsup nkamchachue Mello mie.
Leo nna hamu ya kumchachua CEO.
Haswaah aweke picha clear za HD hatutaki zenye ukungu macho mabovu hatuoni 🤣🤣🤣🤣C ndiwooooooh
Saint Anne njoo uone; mmoja wa wahaini wa Selfika ameachiwa huru🤣🤣🤣
😂😂😂 soon mnarudi mlikotokaHaswaah aweke picha clear za HD hatutaki zenye ukungu macho mabovu hatuoni 🤣🤣🤣🤣
The one and only one BL 🔥🔥🔥❤️🎵Shindo langu mimi mjikusanye wotreeeee!🎵
Muwe na mchana mwema wapendwaaa 🐒🐒🐒🐒🐒🐒🐒!
🤣🤣🤣🤣 Ss hivi tumekatia bima id zetu😂😂😂 soon mnarudi mlikotoka
Hahaha watu wanadai eti mapenzi yanauma, hivi wanajua maumivu ya kufungwa na mtani home and away, na kukosa ubingwa au kombe lolote kwa Misimu mitatu mfululu 😢😢[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba inatesa zaidi ya Mapenziii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbona uko less less sanaa? Utagonga watuu bhana? Nenda taratibuuu.Haswaah aweke picha clear za HD hatutaki zenye ukungu macho mabovu hatuoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
D nimeambiwa umenunuliwa gari em selfika ukiwa ndani ya ndinga lako nikupongeze wifi, kutoka kumiliki iPhone mpk gari ni maendeleo makubwa.!! Em fanya jambo 😜😂😂khaaa
Watu hawajui yaan!! Inauma na kuchoma km pasi ya umeme.Hahaha watu wanadai eti mapenzi yanauma, hivi wanajua maumivu ya kufungwa na mtani home and away, na kukosa ubingwa au kombe lolote kwa Misimu mitatu mfululu [emoji22][emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]D nimeambiwa umenunuliwa gari em selfika ukiwa ndani ya ndinga lako nikupongeze wifi, kutoka kumiliki iPhone mpk gari ni maendeleo makubwa.!! Em fanya jambo [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukizoea heka hekaa, kuacha ni ngumuuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ss hivi tumekatia bima id zetu
Ila nna mwiba umenikaba, mwenzenu mimi nateseka sijazoea kabisa haya maisha ya kutulia..!! Yesu nisaidie
😂😂😂😂😂 Hivi amri ya 8 inasemaje nimesahau!! Kaka ww ni mroma?? Naomba unikumbushe nimesahauThe one and only one BL 🔥🔥🔥❤️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua namchachuaga Mello tsup?Udugu naona unatest mitambo [emoji23][emoji23][emoji23]
Selfika tuna ndinga uduguu 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni watani. Kombe jipya la Muungano ni lenu. Na mmeanzia nusu fainali. Msiwaruhusu Azam wawanyang'anye 😁😁🏃🏿♂️Hahaha watu wanadai eti mapenzi yanauma, hivi wanajua maumivu ya kufungwa na mtani home and away, na kukosa ubingwa au kombe lolote kwa Misimu mitatu mfululu 😢😢
Selfika mbona wenye ndinga wengiii? [emoji23][emoji23][emoji23]Selfika tuna ndinga uduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndinga la mwanaselfika mmoja ni lote wote
Haki nateseka em ngoja niende kwenye uzi wetu ze ganaz humu nakabwa 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukizoea heka hekaa, kuacha ni ngumuuu.
Vululu vululu, full tafraniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Kumekuuuuuchaaaa in Mzee majuto voiceHatutuliiiii!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuna wa kumuogopaaa!!! Em niende tsup nkamchachue Mello mie.
Leo nna hamu ya kumchachua CEO.