Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ccy Mim pia nimeanza kusuka hapa kichwani nina mistari, natakiwa nikaifumue nianze kusuka leo, lkn tatizo nywele zinauma uwiiii uwiiiii uwiiiiii, Yani nikiwa nasukwa hadi nasikia kalio linauma,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Alafu ijumaa kuna send off ya cuzo wangu. Nakutumia watsap uone kama utaipenda.
Poapoa sis fanya manuva nipangilie bajeti hapa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mi nipo kufurahi hapa usinifanye nianze kuchachuka mapema!!
Sis em nibless na kafoto pambee nikuone kwanza
Halafu sipendi mambo yako nikianza kulewa unaleta ujinga wako unataka tu niharibu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Bina em selfika kwanza na utume hairstyles za mbele, ccy Mahondaw ana jambo lake siku chache sijazo.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mi mgeni muanze kuselfika wenyeji kwanza, halafu mimi team mawig na natural hair sipendi kusuka sichelewi kumzabua kofi msusi akinifinya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kwan na leo unalewa?? Si utupie pic sis nikuone..! Ss hivi hamna watu bana
Umefunguliwa ban ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅโค๏ธโค๏ธ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mi mgeni muanze kuselfika wenyeji kwanza, halafu mimi team mawig na natural hair sipendi kusuka sichelewi kumzabua kofi msusi akinifinya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Aaah mim wig kwa kweli ntachekesha lbd ntajaribu, Mim aiseh nimesukwa mistari inauma Alf kichwa changu hua cha uchungu, sema wageni jitambulisheni kwa majina na vyeo.
Em selfika bn na ww bina.
 
Back
Top Bottom