Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,208
- 183,043
Lovelovie sis uje kule unipe mwongozo mapema kama ni kufumua nifumue mapemaaa kama ni kubadili staili nijue nataka niende kwenye maandalizi saiviii Bosi kubwa keshasababisha miamala sitaki kumuangushaaaaa
Badae ntaku update na 🤳🤳🤳 za maandaliziiiiiii
Badae ntaku update na 🤳🤳🤳 za maandaliziiiiiii