Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumekuuuuuuuuuuuchhhhhhhaaaaa udugu wangu [emoji2222]
Em selfika kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu selfikaaa baadaee, sahivii salamu kwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] onesha ugeni kidogo, haraka haraka hvyoo?
Si utaogopeshaa waja sasa? Wee
 
Mwendo wa ngiri, inaitwa usiyempenda kaja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena bora ya zamani, kuliko alivyokujaa sasa!!
Wee huogopiiiiiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunayooooo sis ndo nawaza hapa kichwani nifanyeje kuna hayo madude na miguuni sijui viatuuu gani hata mie sio wa michuchumio!
😁😁😁Ccy Mim pia nimeanza kusuka hapa kichwani nina mistari, natakiwa nikaifumue nianze kusuka leo, lkn tatizo nywele zinauma uwiiii uwiiiii uwiiiiii, Yani nikiwa nasukwa hadi nasikia kalio linauma,😂😂😂😂.
Alafu ijumaa kuna send off ya cuzo wangu. Nakutumia watsap uone kama utaipenda.
 
Back
Top Bottom