Sijawahi ijaribu, taste yake ipoje? Nataka niwe na mbadala sehemu nyingi sana nakosa Smirnoff. Napata shidaa..
Mbadala chukua hiyo. Flying fish, kakiwa kabaridi katamu sana.Sijawahi ijaribu, taste yake ipoje? Nataka niwe na mbadala sehemu nyingi sana nakosa Smirnoff. Napata shidaa..
Jioni mechi ya Arsenal naenda kujiua.Mbadala chukua hiyo. Flying fish, kakiwa kabaridi katamu sana.
Mbadala mwingine heinken… mwingine budweiser..
Uzuri wa flying fishJioni mechi ya Arsenal naenda kujiua.
Dah kunywa kistaarabu. Maximum 3. Kesho job.Uzuri wa flying fish
Hata umalize backet na nusu
Unaamka mzima
Hivyo vidude? Havina tofauti na ginger aleDah kunywa kistaarabu. Maximum 3. Kesho job.
Dooh yani Acha tu 😒😒Nawaangalia hapa mnavyokanyagwa 😂
Yapi tena hayo Depal 😄Mambo yako 😂
Leo umeufunika sana 😉Hayo hapo chini 😁
Unini huo 🤣Leo umeufunika sana 😉
Aaaaaaaaaaah unajua 😄Unini huo 🤣
Hongera mama baby boy🥰Nilishusha mwezi wa tatu kesho tunafunga mwezi sis. Kababy boy
MaShaaAllah❤️❤️ neema za Allah hizi
mashaaallah mdogo wanguUkwapi? Huonekani 😀 raraa reree View attachment 2963465
Neema za Allah tumbo lote hilo🙆MaShaaAllah❤️❤️ neema za Allah hizi
Mbona lipo fresh tu amigos 😊 ukitaka lipungue anza dayati na anza kufanya mazoezi ya kukimbia na kurukaa kambaNeema za Allah tumbo lote hilo🙆
Nilienda jim mhhh sidhan kama ntarud, kesho naanza kukimbia kule milimani ntakua sawa.Mbona lipo fresh tu amigos 😊 ukitaka lipungue anza dayati na anza kufanya mazoezi ya kukimbia na kurukaa kamba
asante mpenzi😘Hongera mama baby boy🥰