Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,973
- 26,960
FLat tummy kabisa hiyoo..! Wewe ukiona tumbo langu lilivyo kubwa lazima uzimie
Sema mamy wenyewe wamesema wanapenda mitumbo yetu.
😂😂😂😂Sema umenichekesha em tuma Hilo tumbo tulione kwanza 😁
FLat tummy kabisa hiyoo..! Wewe ukiona tumbo langu lilivyo kubwa lazima uzimie
Wee damu changa nguvu za kukimbia bado unazo sis saa bi kizeee hapa kukimbia naanziia wapi mi🤠🤠😁! Fanya hivo utanouga hatariii na ulivo na mwili mzuri utauaaaaaaa😍😍😍😍!!😂😂😂😂😂Mim diet ccy 😂😂😔😂hapana.
Nilienda jim niliumwa niliumwa mwili unakua kama mdonda.
Nikasema hapana napoteza pesa tu.
Ngoja kesho nianze kukimbia mdogo mdogo kama Kaka Vince alivosema tuone itakuaje.
.
Hii sarcasm sis sijaentaaaa🤠🤠🤠😁😁😁!Mwanya kama wako ccy, ni bless ccy na mim, nifurai.
😂😂😂😂 Weeeeeh thubutu bibi kizee unamjua ccy.Wee damu changa nguvu za kukimbia bado unazo sis saa bi kizeee hapa kukimbia naanziia wapi mi🤠🤠😁! Fanya hivo utanouga hatariii na ulivo na mwili mzuri utauaaaaaaa😍😍😍😍!!
Niko hapa ccy nakungojaHii sarcasm sis sijaentaaaa🤠🤠🤠😁😁😁!
Usijaree ngoja nipekuepekue kwa gallery hapa!
Weeeee nyota nitoe wapi sis fanya manuva mafusho niondoe hii nuksi dadako au sijui nikaogee maji ya bahari??? Hio bahari sasa nahuku maporini Mungu wangu🤔🤔🤠!😂😂😂😂 Weeeeeh thubutu bibi kizee unamjua ccy.
Ungekua bibi kizee nyota ako ingeshalala siku mingi ccy😂😂😂
Sawa this week nitakuquote.Asante love, selfika na ww.
😂😂😂😂MTU asokua na nyota ccy hasemwi.Weeeee nyota nitoe wapi sis fanya manuva mafusho niondoe hii nuksi dadako au sijui nikaogee maji ya bahari??? Hio bahari sasa nahuku mapirini Mungu wangu🤔🤔🤠!
Utanifanyia mchakato wa mkoti ccy.
Sawa ntakua hapa hapa nasubiriaSawa this week nitakuquote.
shem ndama wako hajambo..?😅
Ndama tena aseee!shem ndama wako hajambo..?😅
Usijaree kabesaaa sisUtanifanyia mchakato wa mkoti ccy.
Pendeza sana😘😘😘😘
Aamen sis wabheja sana!😂😂😂😂MTU asokua na nyota ccy hasemwi.
We kaa huko huko maporini ilimradi unaingiza pesa kihalali, sio kwa kudanga ccy.
Sawa nikutakie siku njemaSawa ntakua hapa hapa nasubiria
hujaona huko kuna uzi wa ndama..? sahivi tunaitwa ndama sie jinsia tofauti na nyie kisa tunanyonyaga maziwa yenu!,nikiangalia hapo umeweka mtindi mzuri mzuri ndo maana nauliza ndama wako hajambo...??😅Ndama tena aseee!
Kila kitu kiko vyedi hukuu kuanzia kuku mboga za majani mahindi migomba n.k
Sawa ww piaSawa nikutakie siku njema
Wabheja mayoo😁😁Aamen sis wabheja sana!