Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wenye matruuu Tunaambiwa tokomae na mazoea na tufanye diet sis kitu ambacho Kwangu kishashindikanaaaa nikishapiga ugali wangu kilo moja pekeangu unategemea nini 😁😁🤠🤠! Hata mazoezi siwezi fanya kwa kuvimbiwa😁😁🤠🤠
😂😂😂😂😂Mim diet ccy 😂😂😔😂hapana.
Nilienda jim niliumwa niliumwa mwili unakua kama mdonda.
Nikasema hapana napoteza pesa tu.

Ngoja kesho nianze kukimbia mdogo mdogo kama Kaka Vince alivosema tuone itakuaje.

.
 
Back
Top Bottom