Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeona Mwanza pia huwaambii kitu na bia yao ya Balimi 😅

Of course huwa nakunywa Mjukuu, mara ya kwanza nilianza kunywa Mwaka 1973.

Mwaka 1978 nilikunywa kunywa hadi kupelekea kuandikwa kwenye kile Kitabu maarufu cha "Ngoswe penzi kitovu cha Uzembe"🙌
Balimi nadhani ni kanda ya ziwa yote. hio Rubisi/ kalinya ni zile pombe za asili mfano wa gongo huku wanatumia ndizi kutengeneza

😁😁🤠!
Kumbe babu ndio Ngoswe mwenyewe dohh! Ulitishaa!
Mapenzi yanarun dunia asee kumbe hadi wazee yaliwatikisa !

Hatari sana
 
Balimi nadhani ni kanda ya ziwa yote. hio Rubisi/ kalinya ni zile pombe za asili mfano wa gongo huku wanatumia ndizi kutengeneza

😁😁🤠!
Kumbe babu ndio Ngoswe mwenyewe dohh! Ulitishaa!
Mapenzi yanarun dunia asee kumbe hadi wazee yaliwatikisa 😊!
Kumbe kuna Pombe wanatumia ndizi kutengeneza, me niliwahi kunywa Mbege ambayo inatengezwa na Ndizi

Ilikuwa ni tamu sana 😋🙌

Hilo tukio la Ngoswe, kiketokea miaka mingi sitaki hata kukumbuka Mjukuu 😜

Kwasasa tumewaachia Vijana wapambane nayo 😅
 
Yeah hizo pia hutengenezwa kwa ndizi.
Mapenzi hekaheka kweli vijana ndio wanawezana nazo. Mzee unaweza aibika hivihivi babu.
 
Ukwapi? Huonekani 😀 raraa reree
IMG_7455.jpeg
 
Back
Top Bottom