Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,319
Hahahahaha..we mzee mie nakuja hapo waambie wanichomee mbuzi nusu ..mama ako mdg yuko ardhi anakuja hapo mpokee ila usianze mambo yenu yale🤣🤣🤣 maana wazee wa mujini mko janja janja sana
Karibu Mkuu utatukuta Wazee wenzako.....
Alafu Sema Mjukuu bhana, huyo binti lazima atakuwa analingana umri na Mjukuu wangu wa 2003 😜