Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahahaha..acha masihara serena ni kitu kingine na kilimanjaro hotel kitu kingine..

Kilimanjaro hotel kwa sasa ni Kempesk kulikua na level 8 club sijui bado iko au la ? Serena ni hapa mwanzo mkuu near nyumba ya sanaa na gymkhana
Acha kukariri Kilimanjaro Kwa Sasa inaitwa Hyatt Regency. Kempiski walitimka kitambo sana TZ
 
Hahahahaha kikao saa ngapi mkuu ..halafu DDC ipi sasa..kuna kariakoo ,kuna Magomeni, kuna Keko na ile ya Mwenge ..kikao kiko DDC ipi mzee mwenzangu,namalizia misa nije
Ni DDC ya pale Mwenge.....Wazee lazima tufanyie vikao jirani na wasomi wa Mlimani/Tumaini/Ustawi n.k ili tukikwama tupate msaada wa Mabinti zetu wa chuoni 🤗
 
Ni DDC ya pale Mwenge.....Wazee lazima tufanyie vikao jirani na wasomi wa Mlimani/Tumaini/Ustawi n.k ili tukikwama tupate msaada wa Mabinti zetu wa chuoni 🤗
Hahahahaha..we mzee mie nakuja hapo waambie wanichomee mbuzi nusu ..mama ako mdg yuko ardhi anakuja hapo mpokee ila usianze mambo yenu yale🤣🤣🤣 maana wazee wa mujini mko janja janja sana
 
Back
Top Bottom