Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,586
- 11,364
Forever and always 😘💕Ahsante sweetheart... 💕 💕 💕 😘 😘 😍 😍
Mkubwa mzima haupo timamu embu jifunze kwanza kuandika hunijui sikujui acha kujuana sawa mzee usivunje Sheria za jukwaa hapa. Cc ActiveSi umeona picha ya dume la Mbegu. Naona umeamua hadi kubadilisha jina la ID yalo.
Hahahahaha..wazee wa bandari utawajua tu..Zigo 🔥🔥
Kabisa kaka 🤣😁😁Hahahahaha..wazee wa bandari utawajua tu..
Hahahahaha...naona...safi sanaKabisa kaka 🤣😁😁
Yaani kumbe hadi wababa huwa mnqng'ang'aniana ukubwa😂Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣
Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣
Jokofu linaota tumboni au sioUmetisha Mkuu
Ila sijui kwanini ukiacha mazoezi lazima Kifriji kiote 😅🙌
Hahahahaha ilikua ni chombeza kdgYaani kumbe hadi wababa huwa mnqng'ang'aniana ukubwa😂
Nikajua ni sisi akina Mama tu ndio tunang'ang'aniana ukubwa😂😂😂😂Hahahahaha ilikua ni chombeza kdg
HahahahahaNikajua ni sisi akina Mama tu ndio tunang'ang'aniana ukubwa😂😂😂😂
Hizi pigo za kugombania ukubwa zipo kwa watu ambao si wakubwaHahahahaha