Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,424
Hahahahaha..Mzee mwenzangu huwezi siku hz kuna ile wanaita AILabda kama alikuwa along Posta, lakini Boti kufika Mwenge ni future impossible tense 😅🙌
Hahahahaha..Mzee mwenzangu huwezi siku hz kuna ile wanaita AILabda kama alikuwa along Posta, lakini Boti kufika Mwenge ni future impossible tense 😅🙌
Chief unatuharibia mfungu bhana😂
Hahahahaha..Mkuu huyo binti tuozeshe tu sasa maana hkn jinsi tena..Karibu Mkuu utatukuta Wazee wenzako.....
Alafu Sema Mjukuu bhana, huyo binti lazima atakuwa analingana umri na Mjukuu wangu wa 2003 😜
We mzee unawaharibia hawa wazee swaumu zao ujue
Yani bado mpaka tutubu mkuu, siku watanzania wakimjua the real devil tutakuwa tushachelewa sana, kwa sasa wacha tuendelee kujifarijiNa itawatafuna sana tu
Umenoga sana, habari za masiku white...
Kabisa MkuuYani bado mpaka tutubu mkuu, siku watanzania wakimjua the real devil tutakuwa tushachelewa sana, kwa sasa wacha tuendelee kujifariji
Huyo kawaida yake kunogaUmenoga sana, habari za masiku white...
Mimi naomba utolewe kabisa,wewe sio mwenzetu. DDC Mlimani Park....orchestra ni band.Leo Wazee tuna kikao chetu Ukumbi wa DDC Mlimani park, nadhani vyema uhudhurie msikie utetezi wangu 😜
Mimi bado ni Mzee mwenzenu tena niliyekula chumvi nyingi 🤗
Mimi ndio naingia hapa jirani V waysNiko 4 ways hapa ..nani yuko karibu tupate lunch
Khaaaa🙄🙄🙄Anawaokotaga kweli humu. Naonaga babu, babu. Nikajua ni mtu mzima, kumbe dogo la juzi tu.
We dada💚🌿