Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,558
Na itawatafuna sana tuDaah laana ya kumchafua na kumchukia huyu mzee itatutafuna sana watanzania
Na itawatafuna sana tuDaah laana ya kumchafua na kumchukia huyu mzee itatutafuna sana watanzania
Najua mnatanianaChat chat hii, nothing serious.
Wengine tuna vitambi na tunakula mlenda kila siku😂Hahaha......unakuta ghafla kafriji kameota 🙌
Kwa upande wa Mwanamke, unaweza kuwa na flat tummy kabla hujaolewa na kuzaa, ukishaolewa na kuzaa plus zile outings za kupelekwa kula Burger na Pizzas utajikuta automatic unaanza kunenepa 🤗
Ni Wanawake wachache sana walioolewa na wanatunzwa vyema na Waume zao na bado wakaendelea kuwa na flat tummy 🤗
Hivi Rafiki pale ujiji bado tupo ? Nipite kusalimia
Hahahahaha..don't take serious dada ake..hivi ndivyo wazee tuna chit chat ..hii ni angle tu ..mambo vipi lknNajua mnataniana
Hebu fanya hivyo, nakuaminia sana..Aaaah mpaka tumepasahau mkuu hapapo tena… ngoja nijipange nifungue pakubwa
Baada ya Misa ..na kumbuka Magu..natoka hapa St Peters..mniambie supu wapi ..leaders ..4 ways au brake point?
Hebu fanya hivyo, nakuaminia sana..
Kilimanjaro hotel 😂😁Baada ya Misa ..na kumbuka Magu..natoka hapa St Peters..mniambie supu wapi ..leaders ..4 ways au brake point?
Mmh siku hz kuna kilimanjaro hotel ?Kilimanjaro hotel 😂😁
Mimi tena..huwa nafika sehemu kama hizo kimya kimya sanaInshallah… ushawahi kufika mkuu au ulipasikia tu?
Si ndio hiyo serena hapo kwa nyuma mukubwa 😁😁🤣 naskia chai ni afu sabiniMmh siku hz kuna kilimanjaro hotel ?
Jana nilikesha hapo ..mbele hapo ya 4 ways kanisa la Mashahidi wa Jehova kulikua na msiba , nakuja hapo4 ways
Ila si umepaelewa ni wapi anamaanisha?Mmh siku hz kuna kilimanjaro hotel ?
Hahahahaha..acha masihara serena ni kitu kingine na kilimanjaro hotel kitu kingine..Si ndio hiyo serena hapo kwa nyuma mukubwa 😁😁🤣 naskia chai ni afu sabini
Sijapaelewa ..we umepaelewa? UnifahaamisheIla si umepaelewa ni wapi anamaanisha?
Mimi tena..huwa nafika sehemu kama hizo kimya kimya sana
Duh nilikuwa sijui kakaHahahahaha..acha masihara serena ni kitu kingine na kilimanjaro hotel kitu kingine..
Kilimanjaro hotel kwa sasa ni Kempesk kulikua na level 8 club sijui bado iko au la ? Serena ni hapa mwanzo mkuu near nyumba ya sanaa na gymkhana