Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,842
- 57,486
Mzee mwenzangu Leo unanikaanga hivi hivi 😅Hakuna mzee hapo mkuu, huoni picha zake kidevu kibichi ndio kinaanza kuota ndevu.🤣
Mzee mwenzangu Leo unanikaanga hivi hivi 😅Hakuna mzee hapo mkuu, huoni picha zake kidevu kibichi ndio kinaanza kuota ndevu.🤣
Tena nimekuruka futi mia, kijana mdogo sana. Ukiwa 40 tu natoa ile pension yangu yote kule nmb nakupa🤣Mzee mwenzangu Leo unanikaanga hivi hivi 😅
Wazee huwa tuna aminiana Mkuu....Aaah wapi, sekondari tulifundiahwa kusoma picha na kutoa tafsiri mkuu. Usituharibie uzee wetu mkuu. 🤣🤣🤣
Haya yote ameyataka Mkuu Kiungopunda na Tresor Mandala 😅🙌Tena nimekuruka futi mia, kijana mdogo sana. Ukiwa 40 tu natoa ile pension yangu yote kule nmb nakupa🤣
Umetisha MkuuSisi ndio wazee. Kiungo punda, kiungo wa zamani wa Mpira. Fundi wa boli huyo hapo. Bingwa wa Ndondo pale uwanja wa shujaa Morogoro. Kiungo wa Zamani wa Young Boys na Reli ya Morogoro.
View attachment 2936198
Hata kama umeficha sura ila kisema ulikuwa unachezea Young Boys ya pale Mkambarani Morogoro nimekutambua. Ulikiwa unakipoga kwenye Ndondo za miaka ya 1990's mpaka early 2000's.😀😃😄😁😆😅🤣😂Sisi ndio wazee. Kiungo punda, kiungo wa zamani wa Mpira. Fundi wa boli huyo hapo. Bingwa wa Ndondo pale uwanja wa shujaa Morogoro. Kiungo wa Zamani wa Young Boys na Reli ya Morogoro.
View attachment 2936198
Hahaaaaa, ngoja niifute basi.Hata kama umeficha sura ila kisema ulikuwa unachezea Young Boys ya pale Mkambarani Morogoro nimekutambua. Ulikiwa unakipoga kwenye Ndondo za miaka ya 1990's mpaka early 2000's.😀😃😄😁😆😅🤣😂
Hahahahahaha..anatuchukulia poa sana sie wazee wake...nadhani anatumia hii mbinu kufanikisha mambo yake...Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣
Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣
Hahahahaha...mkuu mie simo 🙌 haya kayafanya ndugu Kiungopunda ..yeye anaona wote humu vijana..kumbe watu washakula chumvi nyingi sanaHaya yote ameyataka Mkuu Kiungopunda na Tresor Mandala 😅🙌
Hahahahahaha..ana mbinu kali sana za kimedaniHapo kwenye kufanikisha mambo yake hapo, huyu kijana Grahams anacheza kama De Lima🤣🤣
Ngoja ale vinono mkuu, huu ni wakati wake. Mtego wake utakuwa unanasa kila akiutega🤣🤣Hahahahahaha..ana mbinu kali sana za kimedani
Hahahahaha...naona kaja na ulimbo mkali sana wa kutegeq ndege ..huyu kijana anatumia zile mbinu zetu za zamaniNgoja ale vinono mkuu, huu ni wakati wake. Mtego wake utakuwa unanasa kila akiutega🤣🤣
Hebu muaccheni basi imetosha.Hahahahahaha..anatuchukulia poa sana sie wazee wake...nadhani anatumia hii mbinu kufanikisha mambo yake...
Ahsante sweetheart... 💕 💕 💕 😘 😘 😍 😍