Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,950
Fanya hivyo uduguu Mahondaw bday mwaka huu tunayo nakwambia, shetani kashapita ss hivi sasa ndio tutakuwa na strong friendship 😜Tena huyu Red velvet isikose
Keki za kitajiri
Udugu ana picha Kali nyingi humu
Ntachagua tu moja Kali zaidi..
Inakuwa hakuna kunafikiana kila mtu anakaa kwenye nafasi yake 🥰🥰🥰🥰 uduguu wangu
