Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnywani mtayamaliza tu inshallah.

Kitoto kizuri weye.
Chino na haki ya kupagawa tu maninah.
Mchape kwanza na umwambie aniombe msamaha ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
Lasivyo amtafute wifi yake mwingine mi sitaki teeenaa ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapa nishammiss udugu wangu, nna arosto la ubuyu kweli
 
100 kilos ferre gola
Mokolo luemba akendeki mobembo
Na Ko Sala Nini guy luembe oboyi nga
Na Ko Sala Nini guy luembe oboyi nga
IMG_20230415_112751_536.jpg
 
Tena huyu Red velvet isikose
Keki za kitajiri

Udugu ana picha Kali nyingi humu
Ntachagua tu moja Kali zaidi..
Fanya hivyo uduguu Mahondaw bday mwaka huu tunayo nakwambia, shetani kashapita ss hivi sasa ndio tutakuwa na strong friendship ๐Ÿ˜œ
Inakuwa hakuna kunafikiana kila mtu anakaa kwenye nafasi yake ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ uduguu wangu
 
Alafu bana unajua ile serious kabisa, Lamomy alipanga siku ya birthday ya Antonnia, amzawadie simu iPhone. Serious kabisa

Nikitulia ntatafuta hizi chats nikuletee kama ushahidi wa alichopanga, aliniambia hili kama miezi miwili iliyopita
Heee
Udugu ake anahamia kwenye iphone sasa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Sipati picha maphoto makali yatakayotoka hapo
Sasahivi tu itel inatutetemesha๐Ÿ”ฅ
 
Alafu bana unajua ile serious kabisa, Lamomy alipanga siku ya birthday ya Antonnia, amzawadie simu iPhone. Serious kabisa

Nikitulia ntatafuta hizi chats nikuletee kama ushahidi wa alichopanga, aliniambia hili kama miezi miwili iliyopita
Halafu nilitaka kumfanyia km surprise ushaharibu na wewe ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”

Uduguu hii ni kweli kabisaa nilipanga nkufanyie bonge la surprise kwa jinsi nilivyokuwa nakukubali basi tu.!!!
Sijui kwann shetani kapita, nilitaka nikupe iphone hii serious kabisaaa ilitoka moyoni.!!
Dah!! Ila shetani mbaya sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila nitatimiza ahadi uduguu akikubali, halafu mimi nilitaka tuwekane sawa tu wala sijammind.!! Ningemmind ningepandisha mashetani muda huu ningekuwa na ban
 
Mchape kwanza na umwambie aniombe msamaha ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
Lasivyo amtafute wifi yake mwingine mi sitaki teeenaa ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapa nishammiss udugu wangu, nna arosto la ubuyu kweli
Ntakaa naye faragha
na udugu utarudi kama zamani usijali.

Uzuri wako nachokupendea huna uadui wa kudumu.

Hauna nyingine tena hapo mchuchu.
 
Ntakaa naye faragha
na udugu utarudi kama zamani usijali.

Uzuri wako nachokupendea huna uadui wa kudumu.

Hauna nyingine tena hapo mchuchu.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Mimi sinaga uadui kabisaaa.. haswaaa kwa uduguu wangu, hapa nishammiss mwenyewe ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”

Nyingine akija udugu nitaselfika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mama miongozo njoo chino kasema turudishe uduguu na uwifi wetu ole wako ukatae ๐Ÿค ๐Ÿค 
Mimi ndio mtu pekee ninyekupenda humu shauri zakoโ€ฆ. Njoo bana utupie picha za hipusi donti lai ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Halafu nilitaka kumfanyia km surprise ushaharibu na wewe ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”

Uduguu hii ni kweli kabisaa nilipanga nkufanyie bonge la surprise kwa jinsi nilivyokuwa nakukubali basi tu.!!!
Sijui kwann shetani kapita, nilitaka nikupe iphone hii serious kabisaaa ilitoka moyoni.!!
Dah!! Ila shetani mbaya sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila nitatimiza ahadi uduguu akikubali, halafu mimi nilitaka tuwekane sawa tu wala sijammind.!! Ningemmind ningepandisha mashetani muda huu ningekuwa na ban
Weuweee
Udugu ake iphone anayo hana?๐Ÿ”ฅ
Macho matatu kalikali ya kikemia
 
Back
Top Bottom