Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Ko wewe si chinga basiii vigezo vimepungua mimi napenda sana chinga halafu awe kama HarmošMimi mrefu, med na mwembamba bhanaš¤£
Ko wewe si chinga basiii vigezo vimepungua mimi napenda sana chinga halafu awe kama HarmošMimi mrefu, med na mwembamba bhanaš¤£
Toka atoe oda na kuconfirm huwa sina mashaka naye hata siku mojaHivi bado unamuamini huyu?? šššš
Ila Kantry unayaweza?? ššššAnatoa kweli na alipanga, wiki iliyopita niliona saa ya hublot huko insta inauzwa 290k, nikamuonyesha. Fasta tu kesho yake mzigo nikaletewa
View attachment 2919308
Mi mrefu, med,( nerd), na mwembamba.Ko wewe si chinga basiii vigezo vimepungua mimi napenda sana chinga halafu awe kama Harmoš
šš¤£Una jiita mu italy, halafu hujui shawarmaš¤šš¤£š¤£.
Anna muache udugu wangu puliiiizz šššKivumbi kinakuja
Udugu anatuacha kwenye itel
We si ume kalia mipombeš, kula hutakiš¤£š¤£šš¤£
šššš Haya mi yangu machoToka atoe oda na kuconfirm huwa sina mashaka naye hata siku moja
Timu JPM huyu hanaga longolongo.
Kutoka hapo labda mnichangie familia nzima na mniue[emoji23]Ila Kantry unayaweza?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri apatikane wa kukuibia km hujaja na nyuzi za kujiliza
Waliomnanga udugu Ako na itel yake ya rubberband sijui wataweka wapi sura zaošAnna muache udugu wangu puliiiizz ššš
Jichanganye nakuona tu ššššHapa nimeandaa ya kutosha, ndio nayapangq vizuri. Sema nimeona notification ya whatsapp[emoji23], utakua ni mkwara huo
Nuzulati ni mrembo Sana, sijui Nilikuwa wapi š¤.Chingaman masta aka mpishi kaka chinga unafaidi sana ā¤ļøšš¤£
šššš Ww utasababisha balaa nishakuona, wakitokea wenzio wapenda zawadi umekwishaKutoka hapo labda mnichangie familia nzima na mniue[emoji23]
Hapa nimeandaa ya kutosha, ndio nayapangq vizuri. Sema nimeona notification ya whatsapp[emoji23], utakua ni mkwara huo
šššš Acha basi AnnaWaliomnanga udugu Ako na itel yake ya rubberband sijui wataweka wapi sura zaoš
Aikooooooooo. Mtakatifu anne inatosha sasaš¤£š¤£š¤£, then you wreckedš¢..Unakua kama mafarisayo wanafki ššjamani..au wale Nazis mtu kafwa tayari lakini bado wanachapa maiti. Aikoooo MENTAL CALMš¤£Kivumbi kinakuja
Udugu anatuacha kwenye itel
Mi mwenyewe nimevaa mpaka miwaniHajafikisha ššš
Mi na uduguu yameisha labda km yeye bado ana kinyongo aseme hapaā¦..
Ila mi nampenda tonnia wangu ššš
Udugu wangu peke yangu, si umeona leo kila mtu anashangaa sababu wanajua jinsi nilimpenda ukweli š¤ š¤ š¤
šššš Ila unavyompanga Kantry jamani sijui unataka nini Anna??Zitume tu
Achana na huyo wa watsap
Apambane na udugu wake,wamalize viporo vyao.
Endelea kupanga documents shemeji.
AiseeeAnatoa kweli na alipanga, wiki iliyopita niliona saa ya hublot huko insta inauzwa 290k, nikamuonyesha. Fasta tu kesho yake mzigo nikaletewa
View attachment 2919308
šš¤£Nuzulati ni mrembo Sana, sijui Nilikuwa wapi š¤.
šHadi nika kutana na paka shume la kihayaš¤£ššš