Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,856
- 82,008
Mda wa kuangalia makolo hapa nipo chamazi
😂😂😂😂 Ukashindwa uwe upande upi??Mi mwenyewe nimevaa mpaka miwani
Nilihisi nimekosea kuzisoma idz zenu.
Shemeji tunaongea lugha moja siasani kitambo sana kabla hata haujaja selfika😂😂😂😂 Ila unavyompanga Kantry jamani sijui unataka nini Anna??
😁😂We si ume kalia mipombe😁, kula hutaki🤣🤣
Uko vyedi mndeleTukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Rangi ya mtume.Tukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Tanga zinatoka mali safi,Mndele kupendeza kenga mbwani .Tukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Uko vyedi mndele
Rangi ya mtume.
Tanga zinatoka mali safi,Mndele kupendeza kenga mbwani .
😂😂😂😂😂 Ww leo umekula nini??Huna hiyo nguvu
Malaika na majeshi yote ya mbinguni yapo upande wa mheshimiwa.
Warumi?Nimekumbuka sio chale ni mikoba
Hujui kauli mbiu ya jf? 😂Wewe tena 😂😂😂😂
Ss hizo zinahusihana vipi hapa JF
Ngoja kwanza[emoji23]Warumi?
Hizi sifa tunazo wawili tuHuyo ni role model wangu aisee
Zako ziko wapi? Nataka zako.