Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
๐๐๐๐ Anna naijua hiyoMbona kama mnalingana
Hebu tuone tupia ingine.
Ila udugu ni tolu si haba.
Ila kwamba unamfika kiunoni ametupiga kamba.
๐๐๐๐ Anna naijua hiyoMbona kama mnalingana
Hebu tuone tupia ingine.
Ila udugu ni tolu si haba.
Ila kwamba unamfika kiunoni ametupiga kamba.
Itabidi mwezi mzima nianze kuidesign๐๐๐๐๐ Wacha weeee
Basi nitakuungisha cake ikifika bday ya uduguu wangu, nataka iwe ya kitofauti umtengeneze km alivyo na hipusii lake
Cake iwe ya laki 2
Sitaki nirushie madolari kwanza bro ndio niinuke ๐๐๐๐Simama,totoo.
๐๐๐๐ Anna naijua hiyo
Uduguu wangu hana baya nilishapanga kumsurprise na cake kali ๐๐๐๐Itabidi mwezi mzima nianze kuidesign
Iwe standard kama udugu ake Mkemia Mkuu.
relakis kijana,tajir hafokewiMatajiri mmeanza kutufokea ๐๐๐๐
Huyo sio wa kumuamini ๐๐๐Shemeji sijui amepotelea wapi tena jamani maji yangu yatapoa
Acha nikaoge kwanza.
Mashallah.Kuchat na picha kidogo wapendwa ๐๐๐
Yaani Hadi maji yangu yamepoa bafuniHuyo sio wa kumuamini ๐๐๐
Nilikwambia anachangamsha kijiwe ukakataa
Chino wangu ๐๐๐Mashallah.
๐๐๐๐ Na hili baridi sasa??!!Yaani Hadi maji yangu yamepoa bafuni
๐๐๐๐๐ Sawa tajirirelakis kijana,tajir hafokewi
Nitoe wapi dollars kaka yako niko hoi subiri nimuombe wifi yako a bunch of dollars anamiliki,Sitaki nirushie madolari kwanza bro ndio niinuke ๐๐๐๐
Akikupa ndio nasimama ๐๐๐Nitoe wapi dollars kaka yako niko hoi subiri nimuombe wifi yako a bunch of dollars anamiliki,
Simama.
Mambo yako haya chinga ๐คฃ๐Mzee wa kwenye bullet train huyo, chap naiweka watch list๐
Nimeona unatetea mke safi sanaAntonnia hili la kusema lamomy mfupi kaingia chaka sana
๐๐๐๐Antonnia nikimuweka gym miezi miwili namrekebisha body structure
Nampa na brain activator, namrudisha hapa alafu namuambia anza kupambana
Vipi Italy una Rudi lini??Mambo yako haya chinga ๐คฃ๐
Subiri kidogoYaani Hadi maji yangu yamepoa bafuni
Mnywani mtayamaliza tu inshallah.Chino wangu ๐๐๐
Ulikuwa wapi beibbyy?? Udugu kanitukana ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Mimi sitaki uwifi naye tena, kwanza mchape mnywanii kwann anitukane ๐๐๐๐