Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
Na hapo yupo kufukunyua aje alete anapenda kweli hekaheka 😂😂😂Hakijaharibika kitu
Shemeji yupo atatuwekea.
Na hapo yupo kufukunyua aje alete anapenda kweli hekaheka 😂😂😂Hakijaharibika kitu
Shemeji yupo atatuwekea.
Dada Pee naomba hizo sneakers😍😂😂😂😂 Ww sasa unataka kunirudisha
Haya pic hiyo
Naona ni watu wawili tofauti😂😂😂😂 Sasa ndio afanane jina na mimi huyo cute……
Kantry kaamua kuchangamsha kijiwe sina pesa yoyote, nimefulia niko choka mbaya…
Hapa nasubiri anipe pesa nianze biashara ya kukopesha sabuni 🤣🤣🤣
Yes, vita kidogo picha sanaForever and always [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Wacha Tuendelee kuselfika na kutupia videos siee[emoji1783][emoji1783][emoji1783]!
Mmetishaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Akiwepo shemeji hakuna kinachoshindikanaNa hapo yupo kufukunyua aje alete anapenda kweli hekaheka 😂😂😂
UONGO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani unavyokuza jamani…
Hapo nilipokea pesa ya kikoba ndio nikanunua na kufanya shopping mahi wala usiogope
Naomba niweke Leo tu, kulainisha mods[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anna ntakuchapa ujue
Amini kwambaNilijua tu kuwa huyu atakuwa tajiri
Nilikuwa namlinganisha na dada Fulani hivi naye ni mfanyabiashara mkubwa Kariakoo...trip zake za china huko..
Sasa namna huwa anapost status na jokes za hapa na pale unaweza dhani mwenzetu maana anachat hadi na sisi makapuku,hanaga hiyana kumbe!
Hela anayo na wala huwa hajitapi
Tone yake inaendana sana na cute..na nilikuwa nadhani ni yeye.
Ila alivyopost picha naona siyo yeye.
Weka shemejiNaomba niweke Leo tu, kulainisha mods
Watoto sio issue, nakutoa mafuta ya tumboni, hips hilo linakua limenyookaAnto akienda gym atanougaa balaaa!! Sema ye problee ni kitampiiii kumbuka kashatotoa wawili tayari lakini mwanamke ukijifungia wenye miili ya kufumuka kitambi hakiepukiki obese sio poaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Tuendelee kutupia mafoto/ videos mtetezi [emoji1783]
Na picha!
Inabidi tuanze kuongea vizuri na hawa matajiriAmini kwamba
Daah haya unayoombea yaache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa ndio afanane jina na mimi huyo cute……
Kantry kaamua kuchangamsha kijiwe sina pesa yoyote, nimefulia niko choka mbaya…
Hapa nasubiri anipe pesa nianze biashara ya kukopesha sabuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UONGO
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona ni watu wawili tofauti
Ngoja nitafute mwingine
Wewe sijui utakuwa yupi katika wanawake madon wa Kariakoo
Mm nawajua karibia wote maana nimepita pita humo kwenye cargo mnakosafirisha mizigo yenu na nilikuwa nawasiliana na nyie matajiri.
Ila wewe 😂😂😂Yes, vita kidogo picha sana
Daah haya unayoombea yaache
😂😂😂 Kantry acha bana watu wataamini maneno yako siku nikiumwa washindwe kunichangia hapaUONGO
Mm nasema kweli, hapo ntang'ang'ania hata wakinifukuza sitoki. Hata akinitukana sitokiiiiAkiwepo shemeji hakuna kinachoshindikana
Huyu ndo mheshimiwa sasa tunayemjua Toka enzi hizo za siasani.