Sema jamaa una hasira za taratibu sana, jambo la juzi unakuja kukasirika leo? Alafu mbona tulilimaliza hilo?
Mm ningejua vipi kuwa ulikua unatania? So mm kuja kusema umezingua kutumia pics za huyo mshikaji na kujifanya ni ww ndio umemind?
What if nisingesema, je ungekuja kusema kuwa ulikua unatania?
Sijaona sababu ya ww kuja kulirudisha tena hili leo
Anyway, I'm sorry
na yaishe.