πππππππ dah! Ila Jf me nawauza banaπππππnamwambia tu βdaddy niko na asali tayari, tuma hela ya flightβ
Babuu mkonga juu juu shwaaa shwaaa madolari hayooooπππ
Kafie mbele huko π€£π€£π€£Kuwa na imani na Wazee Mjukuu π€
I swear over my dead body
Hatari tupu ππHumu kuna mazito π
Unamuumiza udugu wako
#kudate suala 1
Kuhongwa vinono suala lingine
[emoji2][emoji2][emoji2]
Wauze wote niache me na babuπππππππ dah! Ila Jf me nawauza bana
Nakutumia wasap π€£π€£π€£Wauze wote niache me na babu
Babu nimeona yuko daslama
Naombeni namba jaman mbona hivyoπ
Umeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utashangaa unaletewa taarifa ambazo hata wewe muhusika huna!Hatari tupu ππ
ππUkisema hivyo Babu yenu Presha inazidi kupanda ujueπ
stow away upite huku na mke mwenza JagiyaHivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani
Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.
Hivi inawezekana kweli?
Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.
Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.
Kwanza ujue tumebaki Wazee wachache sana Nchi hii ...........oneni huruma Kwa Wazee π€Kafie mbele huko π€£π€£π€£
π π πππ
Yes dearUtashangaa unaletelewa taarifa ambazo hata wewe muhusika huna!
Tuwe makini na watu tunaowachagua kuwaamini aisee!
Basi hapo kavimbisha mashavu ingekuwa kipindi kile angewahi pm kukandia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama miongozo umeona chuma hiko??
Ndiomana presha nyingi
Babu ukienda kwa wakala na Mimi usini sahau π€£π€£π€£π€ͺWe huogopi kutoka na Wazee π
Ngoja nimwambie wakala akutumie laki 1 π
Si anajua watu njaa zimewajaa, akipost hivyo chupi zinalowa wanajipeleka pm.πππππ hela zake ndo hizo
Laki laki lakiiii
Ila JF anakuja kudanganya na post za dollar. Dollar za ofisi π€£π€£π€£π€£
Nasikia wewe ni bingwa wa kuhonga utafanya watu wauane humu walio kuwa mawindoniππ π π
Mimi mlikuwa mnanishangaza kuimba bwana ana hela et tumemwiba?
Wakati mimi nilikuwa nafanya mission ya kumjua baada ya Yna2 kuninyima picha yake.
Bwana ana hela na Antonia anapost picha camera 1/10. Kwamba miaka yote hiyo kashindwa kutunza za kuhongwa achukue hata ka A series?
Uzuri aliandika mwenyeww kwamba alikuwa ana hasira na uchungu baada ya kuachwa. Ila karudiwa. Bado utulivu hamna, ana shida gani?
Aseme wanawake wenzake tumsaidie
Don't bother with this Young Man, it's normal jokes ya Mzee na WajukuuZee una niponda kutaka kumpa dunia Nuzulati
πAkati kumbe una tumaga na ya kutolea-ππ€£