Mama miongozo tupate breki kidogoo kuna issue moja naifanya, twende mapumziko tutarudi πππππUnafahamu fika kinachoniuma ni kunihusisha na ids mpya humu wewe unazingua na kutoka mwenyewe utasema yoteee afu mi sijafungua hata mdomo wangu!
Ukajifanya kumtumia Antoniia ndio kuja kufatilia vizuri kujua yalipoanzia !
Usijifanye fyatu wewe
πππ nitakudunda ujueEwaaaaaaaaπππ
Ndio maana uliweza kuiba bwana wa watuππππ
Haha ila haachi nn? Kitu kizuri kikiwa dukani na una hela lazima uwashwe kununuaKuna mtu namjua anapenda viatu vilivochongoka mbele kama hivi π₯°π₯°π₯°
Ana pair zaidi ya 15 ila haachi
Canβt blame you though
Makubwa hayaa mie huyu nihanhaike na video yako????? Ndio ikapelekea nini Hadi ukaanza kuita watu kuuliza kama ndoile kama sio undumilakuwili unaokusumbua??? Afu ulomwita hata hakuja ukabakia unahaha na mashankupe wenzio!Ile siku ile tulikuwa tuna vibe nikaweka video na ndio iliokuuma mpk ukaja na id nyingine kulalamika sasa pale uliumia nini?? Mbona video ya kawaida sana uduguuu ππππ
Hebu weka yako nione ulivyo tukunyema
Miongozo sijawahi hata kuwa na msissimko naye kwanza ulisema ana Ukimwi, sasa mimi wagonjwa wa kazi gani?? Eeee uduguu wangu?? ππππ
Dogo umehamia kwenye michuchumio?View attachment 2919043
Kama hivo π₯Ή
Mimi mlikuwa mnanishangaza kuimba bwana ana hela et tumemwiba?Inamuuma ww ulihongwa gari nini?? Mana yeye anahongwa maneno ya kubebishwa tena kwa kuforce ππππ
Halafu ule uzi alijifungulia mwenyewe kuwarusha roho ππππ
Sele alimpa password akaamua kuwarusha roho nyie JF tamu sana
Nimelia π€£πππBasi hapo kavimbisha mashavu ingekuwa kipindi kile angewahi pm kukandia ππππ
Mama miongozo umeona chuma hiko??
Ndiomana presha nyingi
wala babu simfichi ni grahms, ulikuja kuniambia kwamba ananipenda eti nimtafute wakati ulisema Lenie kakuibia babu.. na aliahidi kumpa million, mwishoe akampa lakiβ¦
Na aliyekuunganishia babu gramhs ni coca
Kaka Miongozo unaibiwa ulivyokuwa haupo ulikuwa unasaidiwa nikwambie wala sio km anavyokuaminisha tukunyema lako kwamba alibaki bila mtu ni muongo
Uduguu hi
πππππππππ€ π€ π€ ! Too much of anything is harmful! Asinichukulie poa aseeeHabariii zenyuuu
Habari zenyuuu
Habari zenyuuu
PARUANENI TUONE PICHU
πππππkwani bwana mwenyewe anatumia simu ganiMimi mlikuwa mnanishangaza kuimba bwana ana hela et tumemwiba?
Wakati mimi nilikuwa nafanya mission ya kumjua baada ya Yna2 kuninyima picha yake.
Bwana ana hela na Antonia anapost picha camera 1/10. Kwamba miaka yote hiyo kashindwa kutunza za kuhongwa achukue hata ka A series?
Uzuri aliandika mwenyeww kwamba alikuwa ana hasira na uchungu baada ya kuachwa. Ila karudiwa. Bado utulivu hamna, ana shida gani?
Aseme wanawake wenzake tumsaidie
Scramble and partition of selfikaπ
Zile idβs zote ni zako mama Miongozo na ndiomana mods wakaifuta id yangu wakakuachia ids zako upambane nazo unadhani modβs hawakujua hilo???
Na nitawaambia na ya Ramona nayo wakuunganishie utulie, gram wako ulivyoona nimekukushushua ndio ukaanza kunipa ubuyu wa wewe kutoka naye na wanakuonea wivu sana kila mwanaume unayempata humu ana pesa wanakuibia
Sasa kwann ulikuwa unajipamba na idβs zako?? Unajua kwenye hili huchomoki zile idβs kila siku zinakupamba na kututukana wengine, wewe hujishangai?? Bingwa wa kujisifia na kujiita aunt, yani wewe unajitia kidole na kujinusa mwenyewe ujue
Me nilipewa laki tena ya bure bure mwenzioπ€£π€£Madereva wa ractis wanamwaga hela gani π€£π€£π€£ achen banaa kutudanganya
Weka na screenshot kusapot your claim kama ulivofanya hapo juu! Wewe ni mtu wa makavu na bado utabaki kuwa Ndumilakuwili!Umeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge ππππ
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo π€£π€£π€£π€£
Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone?? π€£π€£π€£
Dah Eti ka a series π€£πMimi mlikuwa mnanishangaza kuimba bwana ana hela et tumemwiba?
Wakati mimi nilikuwa nafanya mission ya kumjua baada ya Yna2 kuninyima picha yake.
Bwana ana hela na Antonia anapost picha camera 1/10. Kwamba miaka yote hiyo kashindwa kutunza za kuhongwa achukue hata ka A series?
Uzuri aliandika mwenyeww kwamba alikuwa ana hasira na uchungu baada ya kuachwa. Ila karudiwa. Bado utulivu hamna, ana shida gani?
Aseme wanawake wenzake tumsaidie
Samsung S6 nini π€£π€£π€£πππππkwani bwana mwenyewe anatumia simu gani
Mule muleeeeeπ
Naomba na mimi nsaidie mwanamke mwenzio
Hata ka 14 pro tu, naomba muongozo kwnye hiloπππ
πππππππ leo ndo leoNyie