Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,397
Madam boss lady imekuaje jaman😂hatumi vocha tena
Ngachokaaaa
Humo tu humoooo😂😂😂😂😂😂😂kubabeki
Humu ndani people are bitter as AFTena ana takiwa avunge tu, as if nothing happened.
👉Wanasema don't give a shit about anything, that doesn't make you wish to die.
Humu ndani sijui niwauze nipate tu hela? [emoji3][emoji3] mbona hamtulii lakini
😂😂😂😂😂Uzuri leo wanachambana matajiri tupu
Uhakika wa vocha upo.
Hana baya,huwa anatupia za kutosha🤣
Weka picha yako kwanza sio kila siku hutaki 🥶Sema unywele uhusike😁
Mbona Juzi mi Mtu kani tukana na siku mjibu.Humu ndani people are bitter as AF
No matter how patient you are ..
You will just get pissed off .
They don't give a damn what happened and they will choke you to core .
Naumwa🤒Weka picha yako kwanza sio kila siku hutaki 🥶
Dadeq 😂😂😂😂 mvuaa inyeshe tuone panapovujaMama miongozo kasema tuselfike wacha niselfike kidoogooooo 😂😂😂😂 inafutwa
😂😂😂😂 kumbe kinachokuuma mimi kuwa msemaji wa wake wenzio??
Halafu mimi sio shortiiiii sawa?? Mimi size ya kati, shortiiiiii ni Selee anayekupanda ngongoti
Wewe sikuandami ila nakutibia kichaa chako, ujue mi uduguu wako lazima nikuweke sawa wewe bonge nyanya 😂😂😂😂
Mimi video nilishaweka mwenzio na nakurudishia tena hiyo uangalie kwa makini
wachaa weeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kweli uko supa toluuu na fuluuu mshepuuiii ndiooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Danganya hao Makinda wenzio humu we know you veri welooooooo!😂😂😂😂 kumbe kinachokuuma mimi kuwa msemaji wa wake wenzio??
Halafu mimi sio shortiiiii sawa?? Mimi size ya kati, shortiiiiii ni Selee anayekupanda ngongoti
Wewe sikuandami ila nakutibia kichaa chako, ujue mi uduguu wako lazima nikuweke sawa wewe bonge nyanya 😂😂😂😂
Mimi video nilishaweka mwenzio na nakurudishia tena hiyo uangalie kwa makini
ChibdechondeMama miongozo kasema tuselfike wacha niselfike kidoogooooo 😂😂😂😂 inafutwa
Acha uwongo 😁😁😁Naumwa🤒
🤣🤣🤣🤣🤣 we n mjinga ujueHumo tu humoooo😂😂😂
Ah kwa kweli humu inatakiwa roho ngumu .Mbona Juzi mi Mtu kani tukana na siku mjibu.
Akati kisa ni kidogo Sana, na aliye mtuma namjua, mpk lengo najua.
Huku watu wanagawa tu mahela ndugu, we hujapewa?🤣🤣🤣😂😂😂😂
Naombeni na mie namba jaman
Kumbe mnapewa mahela mengi halafu mko kimya😂watu wabaya nyieeee
Nilisahau da mkubwa 🤣🤣Uwe unanishtua mdogo wangu kwenye mambo kama haya.
Madereva wa ractis wanamwaga hela gani 🤣🤣🤣 achen banaa kutudanganyaHuku watu wanagawa tu mahela ndugu, we hujapewa?🤣🤣🤣
Umeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??wachaa weeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kweli uko supa toluuu na fuluuu mshepuuiii ndiooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Danganya hao Makinda wenzio humu we know you veri welooooooo!
Namnaa hio uzi unanogaaaa sio kujadili ujinga ujinga tu !
Afu mbona picha nyingine uko pimbi nyingine toluuu ni zakoooo hizo kweli???
Iphone walichofanya Sijapentaaa haioneshi kama ni fb Instagram ama laah!
Kumbe inakuuma kuitwa kapinnchi?? Narudia tena mie sio bwanyenyeee bonge
Mama miongozo kasema tuselfike wacha niselfike kidoogooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inafutwa