Hahaha.........wakati mwingine melody hufanya upende wimbo hata kama huelewi maana yakeKuna siku nasikiliza nyimbo ya kichina, si unajua walivyo wazuri kwenye violin na sauti.
Baadae na Google, Kumbe Ina hamasisha kuzingatia kilimo ππ
Bro unadhani kipo basiπ ni t shirt tu hyoBrother una kiendekezaπ, mi hata Nile vipi still siwezi pata kitambi.
Guess jobless pro max mode Ina niathiriπ€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakujeee kwaniUliza tu wewe
Watayakuta maswali yako
Hapo kuna bomu liliandaliwa mapema sana
Hapanaaa sikubaliii DA tin, hebu ninong'onezee bhanaa.Ndo nimemaliza mimi
Sina la kuongea zaidi
Na juzi ile nilikuwa na mood ya kuongea tu .
Done ....
Wee DA tin em huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuishie hapo Cocastic .
I think nielezea vizuri sana siku ile what happened.
Maisha yaendelee tu , Kuna parts mbili chagua kuamini part yoyote tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishachoka mie
Hii haitoisha , na ukijibu maswali yanazidi .
Umbeya hauishi humu ...
Sitaki maneno zaidi ..
Humu ngoja nilog out kesho na kusepa [emoji23][emoji23][emoji23].
Maana I'm constantly reminded of what happened .
Na mie sitaki kabisa Kila siku niwe najielezea kama nipo court
Jamani muwe na huruma kiduchuπHapo kuna bomu liliandaliwa mapema sana
Wee DA tin em huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo unipe ubuyuuu huko bhanaaa, kwann kunitesa kipenzii chakoo??
Akhu nisutwe.tena BURE π π πHapanaaa sikubaliii DA tin, hebu ninong'onezee bhanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa niki mpa zawadi ya dunia, nyie mtakaa wapiπ€£πBora umenikumbusha, Jioni tutakaa Kikao na Wazee wenzangu kukumbushia suala lako la Kumposa Nuzulati
Ulisema akikukubalia ndiyo utampa zawadi ya Dunia yote muishi peke yenu sio π
Kilichoniuma sana ni yeye kuniita pimbi dah , ili hali I'm not short kihivyoWee DA tin em huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo unipe ubuyuuu huko bhanaaa, kwann kunitesa kipenzii chakoo??
πππππMimi nilipigwa na kitu kizito tu , nilipenda Hadi tone la mwisho .
Kumbe najidanganya ππ
Nalazimisha penzi .
NimeliaKilichoniuma sana ni yeye kuniita pimbi dah , ili hali I'm not short kihivyo
Na juzi kusema nimepauka kitaa sijui nn ,
Yeah ila naishi Maisha yangu , napambana mwenyewe ..
Sina pesa ndio lakini si sahihi kuja kumpaka mtu public vile
Rabbitus iliniuma sana hii .
Ila yamekwisha .
Yanauma hayoπJamani muwe na huruma kiduchuπ
Dada wa watu maskini .. I can imagine kutooga siku tatu kwa ke inakuwaje ni π’
Yani amejikatia tamaa na kuchoka
Yeah inasikitisha sanaHatari sana
Dunia haiko fair
Watu wananyanyaswa kisaikolojia jamani
Halafu mwishowe mtu anaweza kujikuta anaishia kujiua hivihivi.
Mbaya zaidi huku kwetu afya ya akili hatujaipa kipaumbele.
Nishachoka mie
Hii haitoisha , na ukijibu maswali yanazidi .
Umbeya hauishi humu ...
Sitaki maneno zaidi ..
Humu ngoja nilog out kesho na kusepa πππ.
Maana I'm constantly reminded of what happened .
Na mie sitaki kabisa Kila siku niwe najielezea kama nipo court