Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muache udugu wangu bana, leo kashinda hana raha kabisaaa….
Sio udugu yule niliyemzoea, nahisi usiku kalala ananisonya sana….
Basi mkae myamalize, mm pia nampenda sana na anajua [emoji23]
 
Ww sitaki uhusike na lolote, uduguu kasema naita watu sijui wanisaidie, sasa mimi sitaki mtu aingilie hii…..
Nataka niende naye taratibu udugu wangu, mpk atakapokaa sawa..!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ss hivi dawa naona inaanza kufanya kazi
Unaita watu wakusaidie kwenye nn?[emoji23]
 
Unaita watu wakusaidie kwenye nn?[emoji23]
Kumbe jana hujaona?? Kuna comment kasema naita watu ikabidi nicheke 😂😂😂
Mimi nishawahi kuita mtu anisaidie kweli??
Itakuwa kapitiwa kasahau anavyokuja na zile id zake lukuki, mi nagombanaga mpk napewa ban peke yangu….😂😂😂😂

Mimi nimuogope nani humu ambaye ananijua labda?? Nikikusifia nakusifia kwa id hii, na nikikuponda nakuponda na id hii
 
Kumbe jana hujaona?? Kuna comment kasema naita watu ikabidi nicheke [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nishawahi kuita mtu anisaidie kweli??
Itakuwa kapitiwa kasahau anavyokuja na zile id zake lukuki, mi nagombanaga mpk napewa ban peke yangu….[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nimuogope nani humu ambaye ananijua labda?? Nikikusifia nakusifia kwa id hii, na nikikuponda nakuponda na id hii
[emoji23][emoji23]alikua labda anatania
 
Back
Top Bottom