Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kantry najua umetulia unashusha essay yako, naomba acha kusema mambo yangu….
Nitayasimulia mwenyewe kwa muda ninaotaka, nakufahamu friji lako bovu….
Acha kunigombanisha na uduguu wangu 😂😂😂😂
Udugu hebu acha shem atuambie ukweli maana humu kila leo ni ugomvi walimwengu tunataka kufahamu shida imeanzia wapi?
Maana mimi naweza dhani Lamomy ni mkorofi kumbe umechokozwa huko pm 🤨
 
Babu mmoja hivi alimtuma eti akiona comment yangu mshipa wa ngiri unamsimama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chondechonde niende piem nikampe hata hi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie uduguu ananipenda ananitafutia mpk madanga.!! Ushawahi kuona hiyo??
[emoji23][emoji23] mnajuana nyie
 
Udugu hebu acha shem atuambie ukweli maana humu kila leo ni ugomvi walimwengu tunataka kufahamu shida imeanzia wapi?
Maana mimi naweza dhani Lamomy ni mkorofi kumbe umechokozwa huko pm 🤨
Akwambie yeye anajua tuliyoyaongea na udugu wangu?? 😂😂😂😂
Uduguu wala hajanikwaza kivileee mpk tufikie huko, ila akiendelea kuleta uchizi ndo nitampa za chembe
 
Maza asha niambia ndugu yako kaa na kwa makini.
👉, isinge kuwa kukosekana kwa pilipili, basi angekula tumboni😁🤒.
FB_IMG_17083791505516128.jpg
 
Back
Top Bottom