Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo rafiki yangu Antonnia alikua ananizunguka? Ni Babu gan?
Babu mmoja hivi alimtuma eti akiona comment yangu mshipa wa ngiri unamsimama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Chondechonde niende piem nikampe hata hi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nyie uduguu ananipenda ananitafutia mpk madanga.!! Ushawahi kuona hiyo??
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ulienda
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ulienda
Niende wapi ndugu yangu, mi hekaheka na vibabu wapi na wapi?? Nisije kuvisababishia heart attack bure mwenyewe najijua nna hekaheka km zote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwanza chalii wa chugga akijua cha kukatwa mitama ya nyonga nishindwe kutembea ya nini miyee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kantry najua umetulia unashusha essay yako, naomba acha kusema mambo yanguโ€ฆ.
Nitayasimulia mwenyewe kwa muda ninaotaka, nakufahamu friji lako bovuโ€ฆ.
Acha kunigombanisha na uduguu wangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom