Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Tutake radhi Wana mbeya[emoji3]Hakuna kwa sasa...
Kamji kalivyo kachafu kale, wangekuwepo mji ungekuwa unapendeza kidogo...
Siku moja nitakuja Mbeya tena nikapnde ile lift [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Au wewe shoga unaweza??
Mimi nilishashindwa siku nyingi[emoji23]
Nataka kuona vitu halisi,macho yenyewe mabovu haya[emoji3]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Ooh ushuani kisasa.
Hivi bado huamini[emoji23][emoji23]Wooiii nimekuambia danganya watoto wenzio kina Depal siyo mie
Hey wewe.....Anko Juju kawamiss pia.
Wasalimie na wale ma-auntie...Auntie J...Auntie H....Auntie S....na wengine wote ambao bado sijawaona [emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi kumbe kijiti cha dodoma nacho kikali enh??
Nilishajitetea kuwa kamera ya simu yangu mbovu.
Nivumilieni karibu naitengeneza.
Watu wa ushuani mna tabu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Wapiiii, mie naishi huku changanyikeni.
Hivi bado huamini[emoji23][emoji23]
Naomba uende kwenye thread ya zero IQ ile ya kuchat kilugha(lugha za makabila)
Utaona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha huku Ni zaidi ya Cha arusha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]nilijua tuu
Sasa wewe wa mjini unajua lugha gani?Sasa mbona hujanitag huko jamani?? Halafu kwani kukaa mjini ndiyo kutokujua lugha??
Na kwahiyo wewe hapo ulipo hadi kigogo unakijua siyo?? Enhe!!
Hii simu yangu ilipatwa na majanga wewe acha tu si unajua tecno tena.Tupe ya nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]weeeee usiniambie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuulize @Atoto,ana majibu ya hili swali.
Mbeya saa 4 hukuti daladala.Oohh labda useme hapo,, mie mbeya kinachonikera panawahi sana kupoa wakati mie napenda sehemu kuwe na makelele muda wote mfano kwa dar sehemu kama mbagala hivi hata ukitaka kutoka usiku wa manane unatoka..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani huwa kanakubali sasa? Mwenyewe alisema ana PHD ya ubishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuulize @Atoto,ana majibu ya hili swali.