Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeeeeeh haya mapyaa sasa, hao wahuni ni kina nani wataje DA tin tafadhariiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Em apia km Rab hakukukula wee? Na hamjawahi kuonana kweliii?
Sasa tuonane wapi wakti mie nipo dar yeye huko mkoani .

Nimemaanisha hao watu wanaenda kuharibu couple wanasema huyo demu ni mhuni.

Kama mm niliambiwa nimetoka na wanaume wengi humu selfika .

Kwa hiyo lengo kuu ni kukuharibia .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF nyoko mi kuna mtu alimfata kantry kumpa ushauri kuhusu mimi.!!
Yani humu mpk mababa na wamama wa kiroho wapo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu humu mbona watu wana achana na hawa nyooshewi vidole,mfano ni Niffer wala kwa amani sababu Mwanaume alikuwa mtulivu shida ukiwa na wake wenza wengi 😁😁😁
Humu kwa moto km bwana zipu mbovu 😂😂😂
Unaachwa unabeba chuma kingine sio shida zako kabisaaa.!!
 
Basi wakati nasubiri nisaidie kunipasulia TIN na SATE...hata kwa ufupi tu [emoji120]

Natamani kuelewa comments ila hizo terms mbili zinanitia kauzibe [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DA jo bas wee umbea haukufaii kabisaa, hujaelewa hapo kila kitu kiko waziiii?
 
Hakuna kitu kama hicho ukileta mahusiano kwa watu wengi kwanza hakikisheni mnapendana kweli na kwa dhati na hakuna kati yenu mwenye makando kando.
Mimi kwa Sasa naona binadamu hamna Cha upendo wala nn
Mtu anaweza kukugeuka kwa sekunde .
Maana akishaanza kupewa maneno na wanadamu ni ngumu kwa kweli .
 
Sema hujapata mwanaume mwenye msimamo angewashushua wote wangerudi sura zimewashuka 😂😂😂
Nilichambwa huko hatari 😅😅
Ukiona screenshot unasema hii

Wengine pia sijui ke , nishasahau nilivyoambiwa huko 😂😂
 
Uwii mwenyewe nilishangaa kabisa yaani wivu wa aina Gani hivyo

Humu wanataka ukiwa na couple msionyeshane upendo

Mfichane kama dawa ya mbu
Sasa hamjafichana na mkaamua kuonesha watu wa JF, kilichokukuta ni kipiii? Had umekimbia I'd yako ya mwanzo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafa mchezo na JF eeeh??
 
Humu kwa moto km bwana zipu mbovu 😂😂😂
Unaachwa unabeba chuma kingine sio shida zako kabisaaa.!!
Yaani humu mbona watu wengi wameachana na members wengi walifahamu ila amani imetawala why hawa wengine shida ni nini?Akili kichwani 😁😁😁
 
Nilichambwa huko hatari 😅😅
Ukiona screenshot unasema hii

Wengine pia sijui ke , nishasahau nilivyoambiwa huko 😂😂
Walikuchambaje mahi? 😜
Kwahiyo walikuwa wanamtaka huyo bwana??
Kwanini uliruhusu hayo? Humu mkiwa wapenzi na mnamaanisha wote fungeni pm zenu
 
Halafu humu mbona watu wana achana na hawa nyooshewi vidole,mfano ni Niffer wala kwa amani sababu Mwanaume alikuwa mtulivu shida ukiwa na wake wenza wengi [emoji16][emoji16][emoji16]
Unapiga kwenye mshonoo mwayaaa, em twende taratibuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kwa Sasa naona binadamu hamna Cha upendo wala nn
Mtu anaweza kukugeuka kwa sekunde .
Maana akishaanza kupewa maneno na wanadamu ni ngumu kwa kweli .
Nataka nikwambie ukweli mapenzi ya kweli hayatetekeshwi kwa Maneno ya waja yaani kama mliachana kwa Maneno ya humu wote hamkuwa tayari kuanza safari ya mahusiano.
 
Back
Top Bottom