Uwii mwenyewe nilishangaa kabisa yaani wivu wa aina Gani hivyo🤣🤣🤣🤣 JF nyoko mi kuna mtu alimfata kantry kumpa ushauri kuhusu mimi.!!
Yani humu mpk mababa na wamama wa kiroho wapo!!
Humu wanataka ukiwa na couple msionyeshane upendo
Mfichane kama dawa ya mbu