Uliniambia unakaa iwambi kwa wazee na nzovwe kwa sista sasa let's talk about huko kwa wazee ambako ndiko umekulia huko kwa sista si umehamia juzi juzi tu
Oohh labda useme hapo,, mie mbeya kinachonikera panawahi sana kupoa wakati mie napenda sehemu kuwe na makelele muda wote mfano kwa dar sehemu kama mbagala hivi hata ukitaka kutoka usiku wa manane unatoka..