Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,151
- 28,874
Yeah,aka babaake Ali kiba.yule mlugha lugha jamaniiii?
Au unasema yupiiiiii?
HahahahahaMimi sio mlevi mwenzio πππ
Mimi sio mlevi mwenzio πππ
Halafu nimegundua ukiwa mpenzi sana wa uzi huu unakuwa mshari kuliko shari yenyewe
Asee!!
Kumbe lamomy ni cute wife!! Na aletuya ndiyo Tinsley? Ila mbona Tinsley alikuwa ni mdada Fulani hivi Hana baya na mtu? Why Leo amekuwa hivi,alafu naona Kawa mkali kama pilipili.
Huyo Lamomy namjua,ni mtata tangu enzi hizo,alafu Kuna jamaa mliyesema ni Nikki naona ana ukaribu nae sana. Au ndiyo anaweka? Nipe habari Binti cheupe.
Bro, Hii muvi isikuchanganye. Hawa jamaa Wana mwonekano mzuri wabantu mkasome.Dah mkubwa ππ
View attachment 2917486
Eeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?Heh kumbe
Ni aibu bhana na pia yashapita ..
Sio kwa kuficha, I think he gave out full info maana hadi screenshots .
Mie Sina cha kusema zaidi .
Una nichekesha Sana, mi si huyoππ.Sina Swali zaidi ya kukwambia nakufahamu na nakujuaa haswaaa siku ukijichanganya kazi unayoππππππ
Nafahamu Sana, nime Soma kitabu Cha historical Yao mkuu.Bro, Hii muvi isikuchanganye. Hawa jamaa Wana mwonekano mzuri wabantu mkasome.
Hizi jamii zipo south, Eswatini Namibia na Botwana. They're very unique mkuu.
ππππ Unapenda hekaheka weweHapa Kuna vita inanukia.
Ngoja niagize popcorns.. Oya Binti cheupe cocastic na mrembo wangu Saint Anne ,zoezi la picha tughailishe kwa usiku huu kwanza,Kuna dharula.
Alafu siku hizi kingereza kingi kimetoka wapi mrembo?Sio mkali mimi jamani ππ
Hello π
Shit happen when you don't use your brain wisely ..
Hiyo access looh πππEeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?
Unajua unanichanganyaa sana nikiwaza? Yaan kilikukuta kipii ukajilipua hvyoo??
Asee!!
Kumbe lamomy ni cute wife!! Na aletuya ndiyo Tinsley? Ila mbona Tinsley alikuwa ni mdada Fulani hivi Hana baya na mtu? Why Leo amekuwa hivi,alafu naona Kawa mkali kama pilipili.
Huyo Lamomy namjua,ni mtata tangu enzi hizo,alafu Kuna jamaa mliyesema ni Nikki naona ana ukaribu nae sana. Au ndiyo anaweka? Nipe habari Binti cheupe.
Unajua wakati naondoka online mwaka Jana Kuna mtu nilikutana nae siku Moja tukawa tunapiga stori,akaniambia unajua Uzi wa Selfika umefungiwa? Nadhani sababu ilikuwa hekaheka kama hizi.ππππ Unapenda hekaheka wewe
Wewe ! Mwambie huyo udugu wako asinitishe afu sitishiki kiboya mimi aje kumwaga hizo Siri zangu nimemruhusu!Uwe fourth official, utoage dkk za nyongezaa.
Eeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?
Unajua unanichanganyaa sana nikiwaza? Yaan kilikukuta kipii ukajilipua hvyoo??
Asinishirikishe kwenye uleviπHahahahaha
Yeah,aka babaake Ali kiba.
Unajua jamii ya wale watu siyo wabantu! Ni Wana mvuto sana,achana na zile muvi,jutana nao live mazee!!
HahahahahaAsinishirikishe kwenye uleviπ
Endelea kukataa hapa ila ukweli unaujua ππUna nichekesha Sana, mi si huyoππ.
Humu ndani wanao nijua ni 2 tuππ, πzingine nadharia za kiswahili.