Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Asee!!@Lamomy
Huyu zamani alitumia Cute wife, ni wa mda kidg, ila alipokutana na mie nkamleta huku selfika ndo ikawa winja winja had now, lakini kutokana na mushkeki kdg I'd yake ya zaman ilipigwa ban ndefu na kuungwa kwa ingne tofauti ya mwingne, ko alivyorudi ili atumie ya mwanzo ikashindkan na lile jina tayar liko kwa mwingne, hvyo ndo yuko na hili.
aletuya
Huyu ni yule Tinsley, bhana bhana kilichotokea kuhusu huyu bintiii ni kisanga tupuuu, ndo unaonaa varangatiiii linatrend had leo, kwa kifupi ni aliyatimba au kuyakanyagaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubuyuu zaidii utaujua kadri siku zinavyo endaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio mlevi mwenzio πππAaliyyah usinifanyie hivyo my friend. Mimi nasubiri unitengenezee alafu wewe unakuja kunivunja tamaa hapa.
Ukitengeneza Mimi sitaki mocktail nataka cocktail.
Yeah,aka babaake Ali kiba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule mlugha lugha jamaniiii?
Au unasema yupiiiiii?
HahahahahaMimi sio mlevi mwenzio πππ
Mimi sio mlevi mwenzio πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huu uzi ndo unanifaa kabisaa, napenda heka heka kuliko kulaa. Huu uzi hautakiwii kupoaaa kabisaa.Halafu nimegundua ukiwa mpenzi sana wa uzi huu unakuwa mshari kuliko shari yenyewe [emoji16][emoji16]
Asee!!
Kumbe lamomy ni cute wife!! Na aletuya ndiyo Tinsley? Ila mbona Tinsley alikuwa ni mdada Fulani hivi Hana baya na mtu? Why Leo amekuwa hivi,alafu naona Kawa mkali kama pilipili.
Huyo Lamomy namjua,ni mtata tangu enzi hizo,alafu Kuna jamaa mliyesema ni Nikki naona ana ukaribu nae sana. Au ndiyo anaweka? Nipe habari Binti cheupe.
Bro, Hii muvi isikuchanganye. Hawa jamaa Wana mwonekano mzuri wabantu mkasome.Dah mkubwa ππ
View attachment 2917486
Eeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?Heh kumbe [emoji23][emoji23]
Ni aibu bhana na pia yashapita ..
Sio kwa kuficha, I think he gave out full info maana hadi screenshots .
Mie Sina cha kusema zaidi .
Una nichekesha Sana, mi si huyoππ.Sina Swali zaidi ya kukwambia nakufahamu na nakujuaa haswaaa siku ukijichanganya kazi unayoππππππ
Nafahamu Sana, nime Soma kitabu Cha historical Yao mkuu.Bro, Hii muvi isikuchanganye. Hawa jamaa Wana mwonekano mzuri wabantu mkasome.
Hizi jamii zipo south, Eswatini Namibia na Botwana. They're very unique mkuu.
ππππ Unapenda hekaheka weweHapa Kuna vita inanukia.
Ngoja niagize popcorns.. Oya Binti cheupe cocastic na mrembo wangu Saint Anne ,zoezi la picha tughailishe kwa usiku huu kwanza,Kuna dharula.
Alafu siku hizi kingereza kingi kimetoka wapi mrembo?Sio mkali mimi jamani ππ
Hello π
Shit happen when you don't use your brain wisely ..
Hiyo access looh πππEeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?
Unajua unanichanganyaa sana nikiwaza? Yaan kilikukuta kipii ukajilipua hvyoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee doktaaaa utanilipiaa au? Maana ubuyuu ni pesa siku hizi, hata Mange kimambi App tunalipia.Asee!!
Kumbe lamomy ni cute wife!! Na aletuya ndiyo Tinsley? Ila mbona Tinsley alikuwa ni mdada Fulani hivi Hana baya na mtu? Why Leo amekuwa hivi,alafu naona Kawa mkali kama pilipili.
Huyo Lamomy namjua,ni mtata tangu enzi hizo,alafu Kuna jamaa mliyesema ni Nikki naona ana ukaribu nae sana. Au ndiyo anaweka? Nipe habari Binti cheupe.
Unajua wakati naondoka online mwaka Jana Kuna mtu nilikutana nae siku Moja tukawa tunapiga stori,akaniambia unajua Uzi wa Selfika umefungiwa? Nadhani sababu ilikuwa hekaheka kama hizi.ππππ Unapenda hekaheka wewe
Wewe ! Mwambie huyo udugu wako asinitishe afu sitishiki kiboya mimi aje kumwaga hizo Siri zangu nimemruhusu!Uwe fourth official, utoage dkk za nyongezaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh taratibu bas dyadyaa, hivi alikupa nn kikubwaa had ukampa access ya kujua kila kitu kuhusu wee?
Unajua unanichanganyaa sana nikiwaza? Yaan kilikukuta kipii ukajilipua hvyoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asinishirikishe kwenye uleviπHahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] doktaaa eti baba ake naniiiii??Yeah,aka babaake Ali kiba.
Unajua jamii ya wale watu siyo wabantu! Ni Wana mvuto sana,achana na zile muvi,jutana nao live mazee!!