Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Muda wowote naweka picha.Muda ndo huu hapa,
πππZa asubuhi jirani πππEeeeee aloooooo π
Qmanina zenu bado hamjasema ππππ
Sema hebu tulia usinifanye niyamwage kweli wakati sikuwa na mpango huo..!!!
Kumbe kimekuuma kupotezewa??
Ndio ujifunze kuishi na watu, nyangβau wee!!
Mimi bana siogopi kusemwa sababu hakuna anayenijua humu, labda huyo Kantry
Sasa mtu kujifanya uduguu wangu alafu bin vuuup unabadili id unakuja kunichamba hiyo ndio sipendi..!!!
Ww km umeamua kujivika mabomu njoo na id yako tuliozoeana unichambe unavyotakaβ¦.
Huo undumilakuwili ni wako mahi uduguu kunjifanya shosti baadae unakuja na idβs za majina ya kiume kunisema huo ndio tunauita uogaβ¦.. π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Sema nini hata sijafumbua mdomo wangu siri zako zote zipo salama ila ukijifanya chizi nayamwaga ππππππ
Aaliyyah usinifanyie hivyo my friend. Mimi nasubiri unitengenezee alafu wewe unakuja kunivunja tamaa hapa.Hivi Ile mocktail ulitengenezaπ
Sijaona mwaliko
Ngoja siku nipike nyoka, Kisha niku iteπ.Napenda sana kula hasa matunda π
Hapa Kuna vita inanukia.Eeeeee aloooooo π
Qmanina zenu bado hamjasema ππππ
Sema hebu tulia usinifanye niyamwage kweli wakati sikuwa na mpango huo..!!!
Kumbe kimekuuma kupotezewa??
Ndio ujifunze kuishi na watu, nyangβau wee!!
Mimi bana siogopi kusemwa sababu hakuna anayenijua humu, labda huyo Kantry
Sasa mtu kujifanya uduguu wangu alafu bin vuuup unabadili id unakuja kunichamba hiyo ndio sipendi..!!!
Ww km umeamua kujivika mabomu njoo na id yako tuliozoeana unichambe unavyotakaβ¦.
Huo undumilakuwili ni wako mahi uduguu kunjifanya shosti baadae unakuja na idβs za majina ya kiume kunisema huo ndio tunauita uogaβ¦.. π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Sema nini hata sijafumbua mdomo wangu siri zako zote zipo salama ila ukijifanya chizi nayamwaga ππππππ
Nyoka tena shindwa kwa jina languπNgoja siku nipike nyoka, Kisha niku iteπ.
πHata bimkubwa wangu ana penda matunda, sema ye kazidiπ
Nataniaππ, sema mbona Kama jina kubwa mNyoka tena shindwa kwa jina languπ
SitakiππNyie wazungu si watu eti hii ni mimi katika moja na mbili edit π³ππView attachment 2917442
Sijakuelewa hiyo mNataniaππ, sema mbona Kama jina kubwa m
πUnge niambia hata kimvuli, ninge tuliaππ
Sio lazimaSitakiππ
Arrgh ni n bhanaπSijakuelewa hiyo m
Jiamini halafu mimi nimekufahamu mda nini lengo lako twende hivyo then tuone mwisho wake nini ππArrgh ni n bhanaπ
Mi navaaga mara moja moja sana hayo mavitu sina hobby nayo kiviiile! Hebu tuone ukivaa unavopendezaMnapendeza na ujasiri mnao nakumbuka nilivaa sababu Ilikuwa zawadi ilinitesa sana nahangaika kushtuka shtuka nikajua mdudu ananitembea shingoni πππ
Mwishowangu hereni
Mkopoa lakin
Moja kati ya kitu kigumu kuhusu Mimi, ni kujua what is my next step.Jiamini halafu mimi nimekufahamu mda nini lengo lako twende hivyo then tuone mwisho wake nini ππ
Kipenzi yashaisha hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Tin hebu tujuze sie ya huko PM
ambayo Rab kayaleta hapa, usiogopee tuambiee.
Napenda ubuyuu mie balaaa
Nakujua kwa nini nisifahamu hilo πMoja kati ya kitu kigumu kuhusu Mimi, ni kujua what is my next step.
πNi illusion yako tuππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kampyuku wa msamalaaa.Muda wowote naweka picha.
Endelea kuwa hapa mrembo wangu cheupe wa bombambili.
Nilitingwa mamy ndio nimerudi online saivi. Naomba unibles uliyovaa hizo urembo nione unavonoga!Eeh nasali kanisa jingine huko usabatoni nikiwa nyumbani .
Niambie kama upo nikuwekee hiyo picha .