Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante dear.Mi hata nikikondaga bado inajikata sema nikinenepaga Ndio inakua tamu zaidi 🀠!


Cheni mara moja moja navaaga
Mnapendeza na ujasiri mnao nakumbuka nilivaa sababu Ilikuwa zawadi ilinitesa sana nahangaika kushtuka shtuka nikajua mdudu ananitembea shingoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwishowangu hereni
Mkopoa lakin
 
Hapana sikwenda na sikurudi siku siku ya pili .
Hiyo thirty ni alinipa tu mkaka wa watu .
Kama ya usafiri ..

Just to clear the issue
Hakuna la zaidi .
Oooh hapo sawaaa, sasa huyo Rab ulimpa access ya kujua kila kitu kuhusu wee JF kwann??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Tin hebu tujuze sie ya huko PM
ambayo Rab kayaleta hapa, usiogopee tuambiee.
Napenda ubuyuu mie balaaa
 
Daah mkuu hii sio poa, hizi ni pic zake jamaa za muda mrefu sana. Nilikua sijaona hii huwa siingiagi huku sana, Ila nimeshajua ulipozitoa. Sio poa kabisa
Anyway
Kwani kuna nn humu ndanii? Mtu anatuma pc sio zake au?
Mbona mabwakuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lamomy

Uduguuu ukujee unitangazie mpira hapa, niko kwenye runinga tayari, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nasubiri hapa mtanange uendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…