Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....!

Uko na akili mingi sawa sis!


Ye akuje tu tuendelee kusemana iwe nyuma ya pazia iwe huku jukwaani mwisho wa siku mafuta atajitenga na maji tu!
Kabisa ccy yani ukisemwa, unasema, ukisema unasemwa kazi kwisha ccy😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Subiri tuone km ataokoa team, naona kwa mbali Mjep anakuja na fuko la vocha km za laki tano anamwagia warembo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Vijana wamechoka sana sijui itakuwaje leo mtanange ni mkali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badoo lekcharaaa Jack Palladino anakuja na [emoji385] za UK kwenye [emoji161].

Kivumbiii leo, vijanaa wako chaliiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Treeeeenaah [emoji108]
Kila mmoja akae kwenye nafasi yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu shuka chini kuna jambo [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona hilo jamboo uduguuu.
 
Kaka,baada ya kutokukuona kwa mwaka mmoja,nimerudi nimekukuta umebadilika sana.

Umekuwa mbaba na midevu ya kutosha. cocastic umefanikiwa kumfungia ndani mkuu? Au Bado unambwela?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie bado naswampaaaa.
Huyo tunashtua mara uno uno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu ulipotelea wapiii wee daktareee??
 
Ids mpya ni nyingi sana sema huyo ni Tin kweli, Ila kuna zingine unaweza shangaa nahisi za makaka zetu zinawekewa picha za warembo😂😂😂😂😂😂
Yanii hatari tupu sis! Kama ni yeye tunamkaribisha sanaaa chimboniii

Nimemiss kuona lipsss kareee za mtrotro tins
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badoo lekcharaaa Jack Palladino anakuja na [emoji385] za UK kwenye [emoji161].

Kivumbiii leo, vijanaa wako chaliiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado babu Migambuti anajifua kuingia kipindi cha pili 😂😂😂😂
Udugu kesho narudi kuendeleza hii mechi wasintanie vibabu na vijana

Mchuano mkali sate sauzand vs afu tatu
 
Utaachishwa kazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi utangaze mpira, DSTV itapata hasara.
Udugu narudi bado maba na miga wanapasha nje ya uwanja kwanza 😂😂😂😂
 
Namna kijana amepata nguvu ya kuwashtua mabinti hapa, ila naona kuna tajiri la kihaya linakuja kwa mbali likiwa limepaki benz 😂😂😂😂
Narudi kesho lazima tumpate mshindi
 
Kabisa ccy yani ukisemwa, unasema, ukisema unasemwa kazi kwisha ccy😂😂
Sio wewe kusema wenzio wee usisemwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭!


Sis dogo aliweka kimeo changu kwenye beseni la majii ndio nimekitoa kwenye mchele saii nashukuru kimewaka asee Hapa Nilikua najaribu kama kinaingia online !😁

Mrare unono wapendwaaa 😴😴💤😴💤😴😴😴😴😴✌️!
 
Amekua mkubwa hivo🙆🙆
Ukisema wenzio na ww utasemwa.

Bila bila, haya gud nyt ccy.

"Simu ikizima shem Smart911 atanunua nyingine"
 
Karibuuu home mtaniii, sasa si ungewahi kuja ili upake bleach na ufurahie kwa mkapa jana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado babu Migambuti anajifua kuingia kipindi cha pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu kesho narudi kuendeleza hii mechi wasintanie vibabu na vijana

Mchuano mkali sate sauzand vs afu tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ni final sasa.
Match had mikwaju ya penalty hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…