Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 673
- 2,292
Nakazia shem aseme ukwelialetuya could you make clear uongo anaoeneza huyo jamaa maana amekuja kuchafua sura na majina yetu hapa na watu wanaamini either nilikua na mahusiano na wewe au nilikua nakushawishi kuwa na mahusiano nanwewe ndiyo image iliyotapakazwa hapa
Kindly make it clear
Coca shemeji ana mustach km komba maviii πππ
Eeh wakaka wa watu jamani dahAcha uoga Tin rudi bana πππ
Mwenye jeiefu Max wengine wote wapangaji, hakuna kuogopa ww rudiβ¦
Ningekuwa mimi ndio ww nawataja wote wanaotoa sate, na niliowananga nao wote nawananga live wajioneβ¦ mwenye uchungu tuchambane. Mbwai mbwai hakuna kusurrender π₯·πΏπ€Ίπ£
Kwahiyo yule babu kweli alikukiss kwa sate kwenye rahumu, sijui inaandikwa hivoβ¦ hivi vi baby walker navyo vina majina magumuβ¦ aaarrrggggghhh maboss wa sate badilisheni magari mnatupa shida wambea kuyaandika, vichwa vinauma ππππ
Babe gal rudi bana achana na mambo ya nyuma cz hayana maana na hakuna wa kukusumbua cz hukuli kwa mtu babe.Greetings to you all
Ladies , I appreciate your concern and grateful for the advice .
Thank you so much .
I can say Nina ka moyo mwepesi ..
Sidhani hata Nina nguvu za kurudi humu .
I'm just so gullible ..
Lovelovie
Mahondaw
@ lamomy
cocastic I'm sorry lakini sijakusema .
Samahani kwa yote .
Na pia sina shida kabisa na wewe na siwezi kukuonea wivu . Maana hata sikufahamu .
Kwa wale wadada wote inavyosemekana nimewachamba naomba radhi ..
Tins ....
[emoji23][emoji23]kwamba dukani ndio basi tena?Coca shemeji ana mustach km komba maviii [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]sijamuona mwambie kwa heshima yangu arudieUdugu wangu mkaree, mzuri halafu huringi wala nini?? Ndiomana Boss wa voucha anasuuza rungu uko lkn anarudi kwa bi mkubwaβ¦. Anajua wangoni visu [emoji7][emoji7][emoji7]
Pua nzuri hiyo mbona, lips mashallah!!
Awwww kunogile udugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani sanaBabe gal rudi bana achana na mambo ya nyuma cz hayana maana na hakuna wa kukusumbua cz hukuli kwa mtu babe.
Aikooooo!Oyooooooooo.!!! Tin njoo bana km nguvu huna ntakupa Mo energy shostizo [emoji8][emoji8][emoji8]
Njoo tuendelee kuwadiscuss wale vibabu wa 45s si unakumbuka shogare [emoji12]
Mi nimekumiss ndiomana nimekuchokonoa urudi hapaβ¦.
Halafu usiogope maneno ya watu wasiokulipia bills sawa?? Njoo bana, halafu eti mjep alinunua kweli vyombo??
Halafu hii id nyingine mbona..?!! Tin unanichanganya sasa?? Ile ya siku ile iko wapi??
Thank youPole na wewe kwa changamoto unliyopitia
Mimi nilitamani useme ili iwe clear na naamini imeeleweka sasaππππ
ππππ Umenifuma[emoji23][emoji23][emoji23]sijamuona mwambie kwa heshima yangu arudie
Shemeji wananzengo tumegoma mpk tuone video πππππPole na wewe kwa changamoto unliyopitia
Mimi nilitamani useme ili iwe clear na naamini imeeleweka sasaππππ
[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie afanye fasta nataka nikanunue dairy milk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenifuma
Coca njoo uselfike tena kantry anataka kuona uumbaji wa Mungu
ππππ Humu ndani ni hatari Aikoo!!Aikooooo!
Achana na haya mambo Tin cz hata mim pia husema watu tena kwa mabaya na mazuri. Sisi sote ni binadamu na wadhaifu.Shukrani sana
Mie kwa kweli akhuu ..
I guess itanisaidia mm maana kila nikiona Jf naikumbuka hii scandal .
Pole sana kama na wewe nilikusema maana hata sijui .
Oyooooooo!! Wambea wenzangu kumbe Tin mjanja buana aliwalia sate ila waliishia kula kwa macho.. ππππ
Anasema waliotoa walitoa tu, mcity oyeee!!
Tin ww sio mjinga ni mjanja km mibabu yenye wajukuu haitaki kutulia na visate vyao kwann usivichune ebooh π€£π€£π€£π€£
Halafu Tin kuna kitu unakizuia sana.. hebu funguka.
ππππ Acha basi[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie afanye fasta nataka nikanunue dairy milk
ππππ Haya kaa utulie unisimulie mi niko hapa nasubiri mwaya mdogo angu mchwitiiii Tinβ¦.π€£π€£
Hahaa jamani wewe dada π π
Eeh Mimi siwezi maneno Yani ngoja niongee kwa kutulia .
Sio wababu bhana , hao wakaka ni vijana kabisa π
Sa kumbe ni vijana, em rudi kundini.π€£π€£
Hahaa jamani wewe dada π π
Eeh Mimi siwezi maneno Yani ngoja niongee kwa kutulia .
Sio wababu bhana , hao wakaka ni vijana kabisa π