Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,250
- 96,552
Tatizo lako uduguu ni moja kila unavyojitahidi kuchange id, maandishi yanakudhalilisha…. Halafu siko usukumani, hebu weka yako tuone mitraako mikubwa km mawe ya mtoni 😂😂😂😂Acha kumpanga mwenzio ana sura ya Babu yake Mzee Mwakatobe wa Ubaruku. Ebu weka basi na yako tuone Komwe na sura ya mjomba wako wa kisukuma😀😃😄😁😆