Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,120
Ifike wakati ajifunze kuwa na roho ngumu humu maneno yapo tu hayaishi!
Kwani mtu akimuongelea ye anapungukiwa nini??? Halii? Halalii??? Hanywi maji?? Hadinywi na mtuwe ??? Hapumuiii???
Hakuna cha kukosa wala kuomba msamaha mtu humu !
Kwanza watu wakikuongelea unakua supastar yani bila wewe hawana cha kujadili humu bila wewe hawasikiki jf🤠🤠🤠🤠🤠!