Selfika na JF: Snap it. Show it

Muhogo wa jang’ombe sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhogo mtamu ww hafu uwe wa kugombania sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu wee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanacheka huku wanashika bichwa dogo la chini aiseeee!!!
Wawape burudani wagombane sie tufurahi km hivi.!!!
Kabisaa maana ndoa humu zimeshindikana kabisa kutokea zaidi ya vijembe na mafumbo kwa walioshea hogoooπŸ’πŸ’
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu wee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Muhogo km muhogo
Hafu unanoga ukiula na chachandu ya mbilimbi na kipande cha papa pembeni
 
Akatoe huko alikoweka, atuletee hapa, tena ndo ntakutunza siku ya harusi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nasemaje vyombo vifike hata vimetumika tunavitaka
 
Huu uzi kama una ibilisi bin shetani maana vyanzo vyote vya bifu huanzia uzi huu unahitaji upako si bure[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ni wa ntenteme ntenteme, kudolishiana mibarikio inayochachafya kaka zako wa humu.
Bas bifu linaanza hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muhogo km muhogo
Hafu unanoga ukiula na chachandu ya mbilimbi na kipande cha papa pembeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu umechachukaaa sanaaa
 
Kabisaa maana ndoa humu zimeshindikana kabisa kutokea zaidi ya vijembe na mafumbo kwa walioshea hogoooπŸ’πŸ’
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndoa mchezo??
Humu ni kuchachuana tyuu!! Ndoa zitafungwaje na watu tyr wameoa na kuolewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndoa mchezo??
Humu ni kuchachuana tyuu!! Ndoa zitafungwaje na watu tyr wameoa na kuolewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa najiuliza wake au waume zao wa ukweli huko majumbani wanajua, watu wao njegeka wanazokutana nazo humu?

Wangewaonea huruma haswaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au km vipi tuvifate na kirikuu kwani vingi sana?? Vilikuwa vya shingapi??
Ndo hatujui sasa, Rab ndo atueleze vya pesa ngapiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…