Selfika na JF: Snap it. Show it

Udugu anza nipate samaree za kuwapa ambao hawatokuwa active
uduguuu em kwani huu uzi hautakiwii kupoaa kabisaaa.
Yaan modes hawatakiwi kukaa bila kazi, lazima tuwape mikiki mikiki.
Wana raha gani, ziara yao ya chuga ishaisha, sahivi wawe buzzy na kazi hapa jamvini.
 
sasa ulisikia yeye katajwa vipi? Pimbi na kijeba.
Ila watu wana dhambiiii. Eti zakayo wa kike.
Zakayo watiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
JF uzi wa selfika waanze kulipisha km Mange app sasa naona ishakuwa ubuyu wa moto
 
Kabeesaaa 🀠!
Yani humu mimi mbavu zaniuma jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na kweli modes wamepumzika vya kutosha waanze kazi sasa
 
Eti nini?? BK ipi unamaanisha??? Hii ya kwa bibi au Bukoba???

Humu wapole ndio shindikanaaaa
yaan wee acha, alivyokua anajifanya innocent na hataki convo na wanaume, kumbe had kukutana nao anaendaaa.

mbombo ngafuuuu, ngachokaa neneee
 
Akuje akuje haraka sanaaa,

Unajiona mzuriii, na unapendwaa afu wanaolewa wengineee.
Wee hebu njoo tukutakasee upate ndoa, mbona leo mood ya ugomvi inanijiaaa. Khaaaah
 
Akuje akuje haraka sanaaa,

Unajiona mzuriii, na unapendwaa afu wanaolewa wengineee.
Wee hebu njoo tukutakasee upate ndoa, mbona leo mood ya ugomvi inanijiaaa. Khaaaah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ treeeeeenaaaaahh πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
Aje hapa tuhangaike nayee, yuwapi eee mke mwenza yuwapi eeee πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Tena wakavuu haswaaaa,

Na sate sauzand alipokeaa, na kushukuruu juu.

Wee Mjep hebu njooo hapaa. Unabaki huko kwa amani gani uliyo nayooo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ushaanza kuchachuka uduguu mume anauma poleee sana πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
Mjep njoo unaitwa shemeji yani mdogo angu anapondwa ww umetulia??
Hebu kwanza tujibu hiyo sate na papa ulikula?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tushapandisha majini voooh hebu sema haraka
 
wake wenza wako wengii humuu.
Maana wanaume wa humu, kila sketi inayolegea wao wanaivua kabisaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Weeehh kumbe?? Wengine wepi hao tenaa???
Walete tuwasuuze hatutaki kushare sisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anayetaka kushare aende kwa dada wa taifa akashee life story yake alipwe mkwanja
 
akati yeye ndo alikua anampa hits za kuniponda kwa mcheps wakee.

Akuje aseme walininanga vipiii? Afu aseme siku ya 2 alikuja tena kumsaidia kuchagua hivyo vyombo, na alipeleka wapi, maana kwangu sikuvionaaa.

 
Weeehh kumbe?? Wengine wepi hao tenaa???
Walete tuwasuuze hatutaki kushare sisi

Anayetaka kushare aende kwa dada wa taifa akashee life story yake alipwe mkwanja

Si watu wana wake wenzaoo humuuu, hujuii tenaa uduguuu aaaah wee.
 

Si watu wana wake wenzaoo humuuu, hujuii tenaa uduguuu aaaah wee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kile chama tawala na wale waasi??
Eeeeehhhh aloooooohh!!! Hebu ntandike mkeka vizuri nile ubuyuuuu kutoka zenji mie chei cheii πŸ‘‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…